Maumivu zaidi

sasa wee mwanamme unajiita kashata? Bora hata ungejiita kahawa.

Waache wapeane, wee ushashindwa kazi.
 
Kwa kweli inaniuma sana nimetoka nae mbali sana uyu mtoto imefikia hatua wazazi wananiambia nitafute mwanamke mwingine nioe na harusi ni miezi 3 ijayo.Zoezi ni gumu kichwa kinauma sana
 
Sasa ugumu uko wapi? Unaoa mtu mwema au unaoa kwasababu uhusiano umetoka nao mbali.
 
kinachofuata ni "mke wangu ananisaliti ",inshort wewe unakera na huu uzi wako,..km uko serious mwambie ukweli km akiendelea achana naye,kwani lazima kuoa baada ya miezi 3,utaoa hata mwakani.
 
kama bado anakcht wakat hamjaona bas mksha oana ndo atakuwa ana kwachia mshkaj kwa saana
 
Wewe una sema yuko kwenye mfungo! Una uhakika gani ana heshimu mfungo?

Lakini cha kufanya ni kuachana nae huyo hakufai! Umeona kwa macho yako! Stuka
 
Duuh bro unamoyo wachuma, hivi unataka ishara gani tena kuwa huyo binti hakufai??
 
Wakuu na mm nimeona basi nimemvumilia vya kutosha wacha niachie ngazi
 
Kwa kweli inaniuma sana nimetoka nae mbali sana uyu mtoto imefikia hatua wazazi wananiambia nitafute mwanamke mwingine nioe na harusi ni miezi 3 ijayo.Zoezi ni gumu kichwa kinauma sana

Kwa nini usifuate ushauri wa wazazi wako??
Hiyo miezi3 ndio inakuzuzua?
Kata shauri mapema usije kujuta baadaye..
 
pole kijana.bora uachie ngazi,hujamuoa dalili ndio hizio.ndoa ni long commitment,hata kama umetoka nae mbali,inabidi ukubali matokeo,na ni bora uachie kuliko ku share penzi
 
Kwa kweli inaniuma sana nimetoka nae mbali sana uyu mtoto imefikia hatua wazazi wananiambia nitafute mwanamke mwingine nioe na harusi ni miezi 3 ijayo.Zoezi ni gumu kichwa kinauma sana

Shukuru Mungu umemshitukia kabla hujamuoa. Hata ukisema unapigania penzi lake utakuwa mtu wa kuumizwa kila siku.
Ushauri wangu ni kuanza upya, huyo hata kama ukimg'ang'ania kiasi gani hadi ukamuoa bado tu atakupa mapigo makubwa zaidi.
Talking of ma personal experience, mzee you should forget her and then move forward, never hesitate or look backwards.
Nakuhakikishia kwamba utampata mwingine akupendae kwa dhati na aliye mwaminifu!
 
Huwa napata hasira sana mwanaume anapolalamika kwa jambo ambalo lipo dhahiri, kwa nini uwe kinganganizi? Unachatakiwa katika mahusiano ni kuuteka moyo wa umpendaye, sasa we umeshindwa unalalamika maumivu, maumivu ! waachie wenye mbinu, we c unaelewa kuwa mwenye kisu kikali ndo mla nyama!

Sasa mchumba kakubali kubanjuliwa baada ya mwezi mtukufu we bado unahitaji ushauri, kama ndo ushamwambia huwezi kuishi bila yy basi jiandae kushea na huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom