Mbona dawa iko wazi kijana? Acha ngono nawe utaishi salama salimini. Pole sana
Duh kaka pengine una ngiri!wacha mzizimkavu aje akupe mautaalamu!Dr naomba unisaidie mimi ni mvulana....nimekuwa nikiumwa tumbo la kuhara na kukata kwa muda wa siku 1 au 2 pindi tu ninapotoka kufanya ngono na mpenzi wangu ,,nilibadili mpenzi lakina tatizo liko pale pale
naomba msahada wenu
Lol kuna watu wana visa humuMbona dawa iko wazi kijana? Acha ngono nawe utaishi salama salimini. Pole sana
Ahaaaa ndo niya yake huyokwaio unataka nisimpe mke wangu haki yake ya ndoa uje umpe wewe??????/
hahaahahahh unanifurahisha jamani wagonjwa si waende kwa babu wa Lolilondo? kila Mtu anakuja kuuliza Dawa Jamii forums? hawaendi hospitali ya Muhimbili? Mkuu nakupa Dawa ya kutumia majivu sasa ni, Dawa Ya Fungus Za Miguu Chukuwa ndimu na jivu. Unachukua jivu unaweka katika sehemu hiyo katikati ya kidole na halafu unanyunyizia ndimu! Dawa nzuri lakini inawasha sana.! Inshallah nafikiri umenifahamu. SEMA KITU KINGINE NIKUPE NACHO KIWE DAWA MKUU.aisee Mzizimkavu kliniki yako iko wapi?? chondechonde usije tu ukampa mtu majivu
Mbona dawa iko wazi kijana? Acha ngono nawe utaishi salama salimini. Pole sana
kwaio unataka nisimpe mke wangu haki yake ya ndoa uje umpe wewe??????/
Mkuu usilete Matusi atakuazimaje mke au mpenzi wake? BAN itakuhusu mkuu.Unaweza kuniazima tu hata mimi ntakusaidia
hahaahahahh unanifurahisha jamani wagonjwa si waende kwa babu wa Lolilondo? kila Mtu anakuja kuuliza Dawa Jamii forums? hawaendi hospitali ya Muhimbili? Mkuu nakupa Dawa ya kutumia majivu sasa ni, Dawa Ya Fungus Za Miguu Chukuwa ndimu na jivu. Unachukua jivu unaweka katika sehemu hiyo katikati ya kidole na halafu unanyunyizia ndimu! Dawa nzuri lakini inawasha sana.! Inshallah nafikiri umenifahamu. SEMA KITU KINGINE NIKUPE NACHO KIWE DAWA MKUU.