Maumivu ya tumbo baada ya ngono

MATESLAA

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,246
74
Dr naomba unisaidie mimi ni mvulana....nimekuwa nikiumwa tumbo la kuhara na kukata kwa muda wa siku 1 au 2 pindi tu ninapotoka kufanya ngono na mpenzi wangu ,,nilibadili mpenzi lakina tatizo liko pale pale
naomba msahada wenu
 
Mbona dawa iko wazi kijana? Acha ngono nawe utaishi salama salimini. Pole sana
 
Dr naomba unisaidie mimi ni mvulana....nimekuwa nikiumwa tumbo la kuhara na kukata kwa muda wa siku 1 au 2 pindi tu ninapotoka kufanya ngono na mpenzi wangu ,,nilibadili mpenzi lakina tatizo liko pale pale
naomba msahada wenu
Duh kaka pengine una ngiri!wacha mzizimkavu aje akupe mautaalamu!
 
wewe ujiamini na huyu mpenzi wako humwamini..jaribu kujiandaa kifikira kwanza na tumia kinga mda wote...
 
Utabadili mpenzi ndiyo nini hiyo?au wamekwambia ni nguo hiyo unakwenda kununua dukani au huwa unanunua makahaba?
 
Kabla na baada ya tendo la ngono jaribu uwe unajizoesha kula Asali kijiko kimoja hii itakusaidia hilo tatizo lako inshallah.

Umuhimu na faida za Asali
Asali ni moja katika nyanja ya ujoto na nguvu (energy) ni muungano wavyakula vya carbohydrates na asali ni moja katika inayosaga vyakula vya carbohydrates kwa wepesi mno.Huingia moja kwa moja katika mishipa ya damukwasababu ya viwango vyake.Viungo vyote vya mwili hufanya kazi bora asali inapoingia katika miili yatu yaani tukinywa au kujipaka
 
aisee Mzizimkavu kliniki yako iko wapi?? chondechonde usije tu ukampa mtu majivu
hahaahahahh unanifurahisha jamani wagonjwa si waende kwa babu wa Lolilondo? kila Mtu anakuja kuuliza Dawa Jamii forums? hawaendi hospitali ya Muhimbili? Mkuu nakupa Dawa ya kutumia majivu sasa ni, Dawa Ya Fungus Za Miguu Chukuwa ndimu na jivu. Unachukua jivu unaweka katika sehemu hiyo katikati ya kidole na halafu unanyunyizia ndimu! Dawa nzuri lakini inawasha sana.! Inshallah nafikiri umenifahamu. SEMA KITU KINGINE NIKUPE NACHO KIWE DAWA MKUU.
 
Ktk shauri zote nilzosoma hapo juu sijaona ushauri unaoweza kufikisha hitimisho la tatizo lako ushauri wangu kamwone dactar atakuwa inasaidia zaidi
 
hahaahahahh unanifurahisha jamani wagonjwa si waende kwa babu wa Lolilondo? kila Mtu anakuja kuuliza Dawa Jamii forums? hawaendi hospitali ya Muhimbili? Mkuu nakupa Dawa ya kutumia majivu sasa ni, Dawa Ya Fungus Za Miguu Chukuwa ndimu na jivu. Unachukua jivu unaweka katika sehemu hiyo katikati ya kidole na halafu unanyunyizia ndimu! Dawa nzuri lakini inawasha sana.! Inshallah nafikiri umenifahamu. SEMA KITU KINGINE NIKUPE NACHO KIWE DAWA MKUU.

mzii mkavu wewe ni zaidi ya babu wa loliondo
 
Back
Top Bottom