habari zenu wapendwa
Nina mdogo wangu anaumwa sana mtoki tangu juzi, hana kidonda wala infection yoyote.
akienda hospital doctor anamwambia anywe dawa za maumivu tu na hazimsaidii.
Ila kuna mtu kaniambia kwamba mawazo makali sana pia yanasababisha mtoki tena ambayo umeyawaza masaa matatu kabla ya kuanza kuumwa, naomba mwenye uelewa aniambie na anayejua tiba.