Maumivu ya moyo....!!!

mkuu nakukumbusha tu.... usitoe maamuzi ukiwa katika hasira

talk to her msikilize pengine ana tatizo anashindwa kwakwambia kaona akatafte nje utatuz, me siamini kama wewe mkuu hucheat kwahiyo kaeni muongee
 
Huyo mwanaume mwenyewe anakojoa mapema kwa hiyo haifaidi sana..msamehe tu mkeo for the sake of children..si ndio mnasemaga hivyo.
 
rahisi tu mrudishie simu yake na mwoneshe wasap imetengemaa huku umeweka hayo mazungumzo yao aone alafu ondoka

mfate jamaa yako mwambie una mtu mpya hivyo unamwacha shemu (demu wenu) ila kwa kuwa ni mtu poa amchukue kwa manufaa yake.

hakuna majibizano katika haya mawili we fanya na kuondoka
 
Pole sana Mkuu!!
Nayajua maumivu ya mapenzi yanavoumiza, hasa kwa umpendaye.
Fikiria Mara 2 kabla ya maamuzi. Mwite,muulize kwanini kafanya hivyo, kisha utafanya maamuzi yako.
Siwezi jua unampenda kiasi gani, lakini tambua huyo siyo mwaminifu hata kidogo.
 
kww
Huyo mwanaume mwenyewe anakojoa mapema kwa hiyo haifaidi sana..msamehe tu mkeo for the sake of children..si ndio mnasemaga hivyo.
kweli brn wapi umeona wana watoto?

wapi umeona anaewahi kukojoa n me
 
Pole sana kaka ila maamuzi yoyote utakayochukua jitahidi iwe ni baada ya kutafakari kwa kina. Kwasababu unaweza kumuacha huyo kisha ukapata mwengine ambaye historia yake ni ya kutisha lkn huijui.
Mwisho wa siku ukahiyari ungemsamehe huyo wa kwako mliozoeana na akatubu kwa dhati ya moyo wake maisha yakaendelea vizuri tu na ukasahau maumivu yote unayo pitia leo.
Wapo waliofumania wake zao wa ndoa na wakasamehe.
Think twice (ktk sauti ya Celine Dion )
 
mkuu nakukumbusha tu.... usitoe maamuzi ukiwa katika hasira

talk to her msikilize pengine ana tatizo anashindwa kwakwambia kaona akatafte nje utatuz, me siamini kama wewe mkuu hucheat kwahiyo kaeni muongee
Kwa hyo njia ya kushindwa kuniambia wakat tunabanduana kila mara akaona ni bora kutoka nje tena mtafuta gest yy mwenyewe kwel? Nadhan walishafanya mara nying mpka dem anasema unakojoa haraka ina maana hapo wamepigana sana shafti,hebu rudia kusoma hzo chart uone ushetan wa hyo mwanamke
 
kww

kweli brn wapi umeona wana watoto?

wapi umeona anaewahi kukojoa n me
kww

kweli brn wapi umeona wana watoto?

wapi umeona anaewahi kukojoa n me
kww

kweli brn wapi umeona wana watoto?

wapi umeona anaewahi kukojoa n me
kww

kweli brn wapi umeona wana watoto?

wapi umeona anaewahi kukojoa n me
Mkuu shida unachangia Uzi bila kuusoma,hujaona hapo kwenye hizo screenshot za SMS..hilo la watoto nimejiongeza tu
 
Mkuu shida unachangia Uzi bila kuusoma,hujaona hapo kwenye hizo screenshot za SMS..hilo la watoto nimejiongeza tu
hahaahha kasome upya alafu utajua nani ni nani? alafu uje unambie mimi na ww nani ajasoma uzi

au umeona kukojoa ukajua n mwanaume ndo anaambiwa
 
We umeombwa kurekebisha Whatsapp lakini umeacha kufanya ulichoombwa ukaamua kusoma vingine visivyokuhusu.

Pole Sana, na uvumilie kwa kuwa umeyataka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom