Maumivu makali Sana upande wa kulia wa tumbo chini ya titi

JALUO

Senior Member
Jun 4, 2011
168
45
Wadau napata maumivu makali Sana upande wa kulia wa tumbo chini ya titi hapo...nimeshafanya vipimo bila mafanikio...nimepima utendaji wa figo, ini, saratani vyote viko sawa.

Nina siku 3 mfululizo maumivu makali sana
 
Wadau napata maumivu makali Sana upande wa kulia wa tumbo chini ya titi hapo...nimeshafanya vipimo bila mafanikio...nimepima utendaji wa figo, ini, saratani vyote viko sawa....Nina siku 3 mfululizo maumivu makali sana
Mkuu pole sana kwa maradhi yako unakula chakula gani kwa kila siku?una kilo ngapi?una miaka mingapi? mwanamume au mwanamke?tupe majibu hapo tupate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole Mkuu.
 
Mkuu pole sana kwa maradhi yako unakula chakula gani kwa kila siku?una kilo ngapi?una miaka mingapi? mwanamume au mwanamke?tupe majibu hapo tupate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole Mkuu.
Kg 88 Mwanaume, asilimia 90 nakula wanga na matunda miguu pia inauma untayoni na mikono inapoteza rangi viganjani
 
Naomba ushauri, halafu hizi kg zimegoma kupungua nlikua na 89 hardly nimerudi 88 maji ya kunywa pia kuna Muda najisahau....Ila untayoni pia maumivu na Kwa viganja vya mikono rangi inakua kama moayiko
 
Kg 88 Mwanaume, asilimia 90 nakula wanga na matunda miguu pia inauma untayoni na mikono inapoteza rangi viganjani
Umepima Figo in na Saratani lakini hujapima Asidi inaonyesha unayo asidi nyingi mwilini mwako na Asidi ndio chanzo cha hayo maradhi yako.

Unakula vyakula vyenye asidi ndio maana unapatwa na hayo maradhi vyakula vya asidi na wanga kwa wingi . Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.

HOW ACIDIC FOODS EFFECT THE BODY.jpg
 
Back
Top Bottom