Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 765
- 1,670
Wakuu heshima kwenu
Tatizo hili silielewi kabisa; siwezi kulala chali zaidi ya dakika 10, na nikizidisha hapo napata maumivu makali ya tumbo kiasi kwamba inanilazimu niamke nikae kwanza kama dak 5 ndipo nilale tena!
Kinachonishangaza; ikiwa nitasinzia muda mfupi kabla, (chini ya dak 10) hali hiyo haitokei hata nilale masaa sita!!
Je nina tatizo gani mimi?