Maulid kitenge

kitenge.jpg


thread ilishakuwepo long tiiime.....https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/91886-maulidi-kitenge-anaponyoa-kihuni.html

Yo Yo nikikukamata...sijajua!!...
 
Last edited by a moderator:
aaah kitenge kaonyesha wa kwake hadharani
kuna wene uwezo wa kuwa nao hata sita lakini kimyakimya aloo
Kitenge siyo lelemama
anauwezo wa kukaa na wamama watatu,
sijui anawezaje.

pengine wanampendea hizo fasheni za kichwani.
 
Mnashangaa yeye kuwa na wake watatu? Au hamjui kuwa katokea Kondoa Irangi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom