johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,606
- 142,926
Kipindi cha Kipima Joto ITV kinazungumza umuhimu wa Wananchi kuhesabiwa siku ya Sensa
Mshiriki wa kipindi hicho ndugu Maulanga ambaye ni Balozi wa amani alitoa Onyo kwamba raia wa kigeni wanaoishi nchini wasithubutu kushiriki zoezi la Sensa nchini
Hata hivyo mratibu wa Sensa mkoa wa Dar es salaam ameingilia Kati na kusema Watu Wote wanapaswa kuhesabiwa siku hiyo tofauti na kauli ya Maulanga
Maulanga ameomba radhi kwa upotoshaji aliofanya amesema alikuwa hajui hivyo amejifunza
Source ITV