Mauaji ya RPC yaibua mapya, kampeni za CCM zarindima msibani, 15 wakamatwa!

alidai afisa uhamiaji aliingia bahati mbaya kwenye mtego

Kwa maana hiyo basi mtego uleule aliomtegea Afisa Uhamiaji, umemrudi na kumuangamiza yeye mwenyewe.

MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI

Nasikia raha sana kuona makamanda nao wanaonja utamu wa vitu vyenye ncha kali, Naomba Mungu hao majambazi waende na kule IRINGA na MOROGORO.

Mwangosi kauwawa atukusikia juhudi kubwa hivi, Dr Ulimboka katekwa na watu aliowataja lakini atujasikia ata wamehojiwa hao suspects, lakini kitu kimoja wajue whats goes arounds comes arounds, wote niwapitaji tu hapa duniani
 
Nasikia raha sana kuona makamanda nao wanaonja utamu wa vitu vyenye ncha kali, Naomba Mungu hao majambazi waende na kule IRINGA na MOROGORO
.kufanya nini

"Kuuawa kwa Kamanda Barlow si tukio dogo"
Hii sentensi sikuielewa kabisa, kumbe kuna wenye uhai wenye thamani zaidi kuliko wengine
 
Hivi mke wa Marehemu, analichukuliaje hilo suala ma mumewe kuuawa katika UGONI, Je anamfahamu huyo mwalimu?

maana usikute ni zile mambo za MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA.
 
hivi nyie mnao wachukia polisi ni kweli hamuoni umuhimu wake au mnaongea tu kujifurahisha, kwani huyu kamanda anatofauti gani na mwangosi wote si wameuwawa na wote wana haki ya kuchunguzwa vifo vyao. hebu tubaki katika ukweli na kuacha ushabiki usiokua na maana kwani polisi ni jamaa yako.
 
double standard kwenye lipi? Kamanda wa polisi ni cheo kikubwa ndo maana anapewa hayo yote! mbona husemi kwa nini viongozi wengine wanalindwa na wengine hawalindwi? hizi ni protocal katika kila nchi,

Unafurahisha kweli hapo kwenye red, nafikiri ataendelea na cheo chake huko alikoenda
 
hivi nyie mnao wachukia polisi ni kweli hamuoni umuhimu wake au mnaongea tu kujifurahisha, kwani huyu kamanda anatofauti gani na mwangosi wote si wameuwawa na wote wana haki ya kuchunguzwa vifo vyao. hebu tubaki katika ukweli na kuacha ushabiki usiokua na maana kwani polisi ni jamaa yako.
wewe hapo kwenye red koma kabisa
 
Nataka nifuatilie kwa kina ni nini kimemuua huyu mtu, je ni kweli amepigwa na Risasi au ni vitu vizitozito na venye ncha kali kutoka kwa watu wasiofahamika ndiyo vimepelekea kifo chake.
 
Mmmhhh, tarifa za awali zilitueleza kuwa walitoka wote kwenye kikao na mwalimu Doroth, mara mambo yamegeuzwa walikutana njiani (usiku saa 8 huyo mama alikuwa anatembea peke yake, makubwa!!).

Moyo wangu unakataa kuamini hii new twist. Nyie badilisheni na kunyumbulua tu, time will tell.

Kumbe na ww Mama Mdogo umeliona hilo! Ni utata usio na kifani....
 
Last edited by a moderator:
Unafurahisha kweli hapo kwenye red, nafikiri ataendelea na cheo chake huko alikoenda

hata kama hutaki ukweli ndo huo, hapa ni hapa tunaongelea hadhi na wala hatuongelei kifo. kufa kila mtu atakufa tu
 
"Kuuawa kwa Kamanda Barlow si tukio dogo"
Hii sentensi sikuielewa kabisa, kumbe kuna wenye uhai wenye thamani zaidi kuliko wengine
hawaongelei uhai wanangelea wadhifa Cheo "ndo maana wengine wanalindwa na wengine hawalindwi"
 
Mmmhhh, tarifa za awali zilitueleza kuwa walitoka wote kwenye kikao na mwalimu Doroth, mara mambo yamegeuzwa walikutana njiani (usiku saa 8 huyo mama alikuwa anatembea peke yake, makubwa!!).

Moyo wangu unakataa kuamini hii new twist. Nyie badilisheni na kunyumbulua tu, time will tell.

Pia mbona hawatuambii mahusiano kati ya kamanda mtangulia mbele ya haki na mwalimu "jasiri" Doroth?
 
Back
Top Bottom