Mauaji ya raia tatizo ni kuwa polisi wanatumiwa

Mkulia

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
375
95
Binafsi nachukia sana mauaji ya raia yanayofanywa na jeshi la polisi wa Tanzania. Hawa polisi tatizo lao kubwa ni kuwa hawajui hasa kazi zao ni zipi na pia wanatumiwa na wenye mamlaka kuudhoofisha upinzani jambo ambalo huligharimu taifa na kusababisha amani ya nchi kutoweka. Chonde!chonde! polisi tendeni haki katika kazi zenu na kulinda amani na mali za raia.
 
chagonja amesesha sema toka jana,wao wanatekeleza maagizo wanayopewa na watawala(serikakali ya ccm).nilimsikia jana redio one alikuwa akihojiwa asubuhi.
pia polis wamepewa kutekeleza mauaji kwa wananchi wanaoenda kwenye mikutani ya chadema ambako ukweli kuhusu tanzania unasemwa,lakini kwenye mikutano ya ccm,wameambiwa wawaache maana kule wanfundishwa kucheza bongo flava na taarabu.
mfano:mkutani wa bububu zanziba,alikuwapo mzee yusufu akifundisha kucheza taarabu.
 
Back
Top Bottom