Mauaji ya Gadafi, LIBYA haitakaa itulie, Majuto, visasi, mauaji ndio vilivyotawala

Mkuu, hizi mbinu za watu wa magharibi ni hatari sana - itakuwa vigumu Libya kutulia, watapigana wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu sana huku mafuta yao yakichotwa na wajanja, mambo kama hayo yanaendelea huko IRAQ - mafuta yanachukuliwa na nchi za magharibi wakati IRAQ bado hakuna amani hata kidogo, wateule wa nchi za Magharibi wanajifungia ndani kwa kuogopa kuhuwawa yaani vurugu tupu!
 
Back
Top Bottom