Kwa hali hii nitaimbaje Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote ...................., Pole waandishi wa habari. Lakini sasa tambueni kwamba muda wa habari nyepesi nyepesi za kuwapamba watawala umepitwa na wakati, fuateni nyayo za Mwana Halisi, tuungane katika kukemea maovu, kuyaandika kwa usahihi bila kuchakachua, Andikeni habari za uchunguzi bila hofu, tujitoe mhanga bila woga. Nadhani hiyo itakuwa njia sahihi ya kumwezi shujaa, mpigania haki, mzalendo Daudi Mwangosi.
Let us stand up, stand up for your right, ................., Don't give up the fight .........................
Let us stand up, stand up for your right, ................., Don't give up the fight .........................