Matusi ya Moise Katumbi kwa Yusuf Manji

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139

Boss wa TP Mazembe Moize Katumbi Chapwe atembelea wanja la TP Mazembe

574863_438362372852728_859102223_n.jpg

540831_438361249519507_1211504543_n.jpg
Sehemu ya Kupumzikia wakuu
524109_438361366186162_1537574782_n.jpg
View kutoka sehemu ya juu ya VIP
426934_438361652852800_1838818983_n.jpg
Moise Katumbi akiangalia uwanja viti vya mzunguko
283605_438361772852788_687915680_n.jpg
Makabati ya kuwekewa nguo vyumba vya kubadilishia
319469_438362072852758_262813654_n.jpg

575695_438362152852750_1687688983_n.jpg
Picha zote kwa hisani ya Mtandao wa TP Mazembe
 
Jukwaa la siasa limevamiwa aisee. Pelekeni sports huko

Back to the topic: Manji anataka yale majengo ya Yanga, na atafanya mchakato mpaka ayanunue kisha mtaona maana yake nini. Me mwanachama wa Yanga, na ninaona heri aje afanye mambo yake kama yale ya QUALITY PLAZA, kisha sisi tuchukue dividends tu kama shareholders. Si unaona ile Barabara pale ? Yule mtu balaa kwa kuforecast. Wasiojua maana yake wataniponda. Go manji go...you have my vot
 
soka ya tanzania inahitaji mabadiliko makubwa kiuendeshaji wake hasa upande wa uchumi na kujitegemea,tunahitaji kina manji na bahkresa wengi zaidi kuanzisha vuguvugu la mabadiliko
 
Jukwaa la siasa limevamiwa aisee. Pelekeni sports huko

Back to the topic: Manji anataka yale majengo ya Yanga, na atafanya mchakato mpaka ayanunue kisha mtaona maana yake nini. Me mwanachama wa Yanga, na ninaona heri aje afanye mambo yake kama yale ya QUALITY PLAZA, kisha sisi tuchukue dividends tu kama shareholders. Si unaona ile Barabara pale ? Yule mtu balaa kwa kuforecast. Wasiojua maana yake wataniponda. Go manji go...you have my vot

He has mine too,we need these kind of people for change
 
wanachama wa yanga kama watampa support ya kutosha rais wao huyo mpya atawafanyia makubwa na kuleta mapinduzi na changamoto kubwa kwenye soka ya Tanzania,siku zote namkubali yusuf manji kuliko mafisadi wote wa tanzania,kwa kuwa ana invest hapa nyumbani tofauti na wengine,chukulia mfano wa ile mall yake pale imesaidia watu wangapi kupata ajira
 
Jukwaa la siasa limevamiwa aisee. Pelekeni sports huko

Back to the topic: Manji anataka yale majengo ya Yanga, na atafanya mchakato mpaka ayanunue kisha mtaona maana yake nini. Me mwanachama wa Yanga, na ninaona heri aje afanye mambo yake kama yale ya QUALITY PLAZA, kisha sisi tuchukue dividends tu kama shareholders. Si unaona ile Barabara pale ? Yule mtu balaa kwa kuforecast. Wasiojua maana yake wataniponda. Go manji go...you have my vot

mkuu pokea like zangu 100. binafsi ni mwanachama wa Yanga na ni miongoni mwa watu anaompigia debe Manji kwani ni kiona mbali hasa kwa ishu nzima ya income generation katika timu. Yatupasa ifike mahali timu iwe na vitega uchumu vyake tusitegemee zaid misaada ya wafadhili. to me ni afadhal achukue ayajenge kisha Yanga tuwe ni wabia na baada ya muda kupita wa sisi kulipa deni hilo basi jengo libaki kuwa mali ya Yanga. hata kama kizazi cha sasa hatutafaidi kiivyo but the coming generation watafaidi tu.
 
Soka duniani limebadilika kabisa kiuendeshaji,klabu za mpira haziendeshwi na wanachama kwa sasa ndiyo sababu klabu kubwa duniani zimenunuliwa na matajiri wanaoziendesha kwa faida,wanachama hawana nguvu katika kuendesha timu wamebaki kama mashabiki au wanazi wa timu,Tanzania inabidi tubadilike vilabu vyetu wiweke demokrasia pembeni kama tunataka maendeleo ya soka.
 
moise timu ni yake Manji timu si yake ana yake anayoyataka yanga na tuone kama ni kweli atajiuliza niifanyie nini yanga au yanga imenifanyia nini?
Kwani yanga imemfanyia nini manji toka ajiunge nayo???
 
Hivi ile fitna aliyopigwa MENGI wakati anataka kuifanya YANGA kuwa kampuni iliishia wapi nna uhakika sasa hivi YANGA ingekuwa mbali saaaaaaaaana
 
EPA sawa lakini tunaona matunda yake,ajira za kumwaga vipi hao waliokimbiza za kwao na kuzificha USWIZI?bora hata MANJI
 
itabidi umutaarifu na yahoo kuwa mtaka manji awe mshika dau
Shka ondoa mimi ndo shabiki no 1 wa manji,yanga tusipomtumia itkula kwetu.Yanga na simba tanu zianzishwe mika ya 30 hazijafanya lolote,tunawahitaji kina Manji sasa
 
Mtasema sana ,lakini msisahau kuwa kuna watu ambao wanategemea yanga ili watoto wao waende maliwatoni,unafikiri hao wazee watakubali kunyanganywa ulaji wao kisa nyie mnataka Yanga iwe ya kisasa zaidi?Walikuwepo kina George Mpondela waliokuja na mikakati mizuri kabisa ya kuifanya Klabu ijitegemee kiuchumi lakini wako wapi sasa hivi?
 
Back
Top Bottom