Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matusi ya CDM Singida yako wapi tulinganishe na ya Lusinde?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njaare, Jul 19, 2012.

 1. N

  Njaare JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,064
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wana JF,

  Viongozi wa CDM waliokuwa Singida wanatuhumiwa kutoa matusi kwenye mkutano wao. Naomba kama kuna video ya hayo matusi tuilinganishe na yale ya Lusinde ya Arumeru.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,274
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Mkuu CDM hawajatukana hata kidogo walisema ukweli kuwa Mwigulu ni ******** kwasababu anafanya uzinzi na mke wa kada mwenzake na hiyo ni kweli kwasababu alifumaniwa wakati wa kampeni za jimbo la Igunga
   
 3. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe matusi yenyewe ndo hayo??? Kweli POLISI wanataka kutumika kwa maslahi ya CCM.... Mimi nlijua matusi yenyewe yanafanana na yale aliyoyatoa Lusinde kule Arumeru!!
   
 4. M

  Mdwenke Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayo matusi yalikuwa mabaya sana yanapaswa kuwekwa kule Mambo ya Kikubwa
   
Loading...