Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 457
Tulieni, hatuhitaji maneno. Hapa ni KiCHAPO tu.
Mimi siwezi kuwalaumu. Inategemeana na jinsi wanavyotuona. Kumbuka, Joyce Banda alitamka mbele ya Kikwete kwamba ziwa Nyasa ni la Malawi kwa 100%. Kikwete hakusema kitu, akanyamaza tu. Eti Oh, wanadiplomasia wetu watalimaliza tu. Kama rais wa nchi anashindwa kuongea chochote juu ya umiliki wa TZ kwa ziwa Nyasa akwa uso kwa uso na rais mwenzie na bado tunalalamika eti ziwa si la Malawi tunategemea watueleweje?
Yaani unataka miaka kumi na nane mingine? Lakini hao askari wa malawi walikuwa wakinipigia saluti nikipita huko, ingawa mimi sikuwa askari. Mmmmm.lnaelekea ile show ya kagera imeanza kuchuja sasa tunahitaji show mpya ya nyasa.
EMT kuna matusi waliyoyasema kwa kilugha chao ungeyajua ungeshangaaaaa.......
Si umajua presidaa wetu anapenda totoz? Sasa ulitegemea aseme nn wakati anajua cku yoyote wanaweza wakakutana kwenye mkutano akaomba gem? Hata akiwapa hilo ziwa acha awape tu ilimradi Joy ampe mzigo tu.
Again, no offence but I'm watching you. You could be one of those Malawians who can speak Kiswahili so fluently. I met such Malawians abroad and I was dumbstruck!Ndiyo maama mpaka Azipa anadhani mie ni Mmalawi simply because sijatekwa na emotions and probably that I am looking both sides of the coins. Nina marafiki zangu Wamalawi wengi tuu, tunakutana, tunakunywa, tunajadili mambo kibao including hili la mpaka.
Wamalawi wasubiri mazungumzo yaishe kwanza, ikishindikana muafaka wa kueleweka hatuna jinsi zaidi ya kulinda mipaka yetu kwa nguvu zote. Hayo makelele yao ya sasa ni kelele za mlango tu.
Mie nadhani Wamalawi wanazidi kujisahahu na kuendelea mbele zaidi na kuanza kutuporomoshea matusi eti sisi wajinga....Kikwete mpumbavu.....hatujui kiingereza hivyo tutashindwa kesi ikiwa itaamuliwa na ICJ na mengi yanazidi kutuudhi. Wanatoa comments za Kishabiki na Kujidanganya kuwa eti kwa vile JK aliruhusu meli za Iran kujifanya za Tanzania...tukiingia vitani UK na US watawasaidia Malawi ili sisi tupigwe hebu oneni baadhi ya Mawazo ya Wamalawi. Pamoja na kupoteza wanajeshi wetu kule kwao bado tunaitwa Stupid neighbours.
Hapo kwenye blue ni kweli kabisa.