SOBY
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 1,268
- 458
Anahudhuria vikao?Usiwaite wapumbavu WB wanafuatilia pesa zao, Lema anaingia hapa kama diwani na mbunge wa jimbo la Arusha mjini.
Anahudhuria vikao?Usiwaite wapumbavu WB wanafuatilia pesa zao, Lema anaingia hapa kama diwani na mbunge wa jimbo la Arusha mjini.
Kwani kamati ya bunge ime certify audits za Arusha?..... mbona haya mambo yanafanywa kizezetazezeta?Kuna mchezo unataka kufanywa, mkurugenzi anasema wametumia mil. 100 kukarabati ofisi 4 wakati mhandisi anaema 10, nafikiri walikuwa anataka kuomba pesa zingine kwa ofisi 6 wanazoficha.
Walkout haijaanzia tanzania ina work na matunda ndio haya international institutions zinaanza kuangalia kulikoni Arusha?Anahudhuria vikao?
Anahudhuria au la?... kama ahudhurii, je ameshawahi kupokea posho? kwa sababu milioni 100 kuna mbunge alisema si hela nyingi.Walkout haijaanzia tanzania ina work na matunda ndio haya international institutions zinaanza kuangalia kulikoni Arusha?
Nyie mliohudhuria vikao kwa miaka 50 mmeleta maendeleo gani.Kweli wajinga ndo waliwao, Lema na chama chake hawahudhurii vikao vya madiwani manispaa ya arusha za ya kuchukua posho tu. Kazi ya kutetea rasilimali za manispaa ya arusha inafanywa kwa uzalendo mkubwa na Mkuu wa Mkoa Magesa Mulongo Mpiganaji wa kweli wa vita ya wanyonge.
Alikwenda manispaa kukagua miradi ya maendeleo na kuwaambia kuwa kuna harufu ya ufisadi hivyo atawapelekea tume ili haki itendeke na ionekane kuwa imetendeka. Na kweli kapeleka tume ya watu wa PPRA.
Hongera sana Magesa Mulongo kijana mwenzetu, mshauri Lema nae aache utoto na aje muijenge Arusha.
bangi zinakuharibuNimecheka sana mbavu zangu! Eti matunda ya Lema yaonekana! bangi za Arusha mbaya kwa kweli