The Stig
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,113
- 1,105
Wakati huu tunapopanga bajeti ya serikali, na tunapojiandaa na raha za weekend, tujiangalie tena uwezo wetu wa kutumia fedha zetu chache na tujilinganishe na wenzetu;
1. Wajerumani: Allianz Stadium, Munich, Imejengwa kwa EURO 286 Millioni. Linabeba watazamaji 68,000.
2. Wamarekani: Boeing 747 Jumbo Jet, Inanunuliwa kwa 300 Million USD. Inabeba abiria 440
3. Wakorea: Supertanker la mafuta linauzwa kwa 150 Million USD. Linabeba tani 200,000 za mafuta
4. Watanzania: Tumejenga ofisi ya BOT kwa 300 - 500 Million USD! Linabeba wafanyakazi kadhaa
5. Wamarekani: Bei ya nyumba ya Britney Speers, 9 Million USD. Inabeba familia moja
6. Watanzania: Tumekarabati nyumba ya gavana kwa USD 2 million! Inabeba familia moja