Matumizi ya Mlango wa Nyuma: Hebu tulijadili!

Mhhh tatizo lako hilo
Duh yaani hapa ndo umeona great analysis

amnaaah umeona jisi jamaa alivyo analyse lakini..!? au unataka kuleta kesi tena hapa haya tuanze kakosea wapi...!? maana nyie hadi nukta mnaishupalia...!
 
Analysis yake anataka hii thread ipelekwe jukwaa la wakubwa wakati sio lengo la mtoa mada
haya mambo ya sijui joto na nini kwani mlango wa nyuma wa nyumba kuna joto gani
 
ndyoko......... kwenu mnatumia mlango wa nyuma tu?? yani mnafungua mbele kufanya usafi tu??
 
Mlango wa nyuma ni mdogo kuliko ule wa mbele, kwa kuwa watu wengi wanapenda msuguano na mbanano wanatumia mlango wa nyuma. Pia kwa kuwa mlango wa nyuma huanzia jikoni badala ya sebuleni, hivyo joto lake ni kubwa zaidi, watu wengi wanapenda joto hasa sehemu za baridi. Zaidi ya hapo ni addictions tu....

Njaa bana,yaani utetezi wako dhidi ya mlango wa nyuma ni balaa kabisa!!!
Haya bana.
 
Analysis yake anataka hii thread ipelekwe jukwaa la wakubwa wakati sio lengo la mtoa mada
haya mambo ya sijui joto na nini kwani mlango wa nyuma wa nyumba kuna joto gani

Mlango wa nyuma mkuu si upo karibu na jiko na jiko kila wakati linatumika kupikia hivyo direct kuambukizwa joto la jiko.
 
Sio wote wana jiko ndani ya nyumba
Unasemaje hapo kwa wale ambao hawapikii kwenye nyumba kubwa wana jiko la nje mkuu
 
Mlango wa uani/jikoni unatumika zaidi kwa ajili ya kuhakikisha usalama. Mfano kama umewaacha watu nyumbani maid/watoto au ndugu, ni rahisi wakakaa huko nyuma ya nyumba wakajisahau ukatokea hata wizi. Japo ni muhimu kufanya usafi mlangoni daily. Haina tofauti na kutumia kitchen dining for convenience unless kuna wageni maalum.
 
ndyoko......... kwenu mnatumia mlango wa nyuma tu?? yani mnafungua mbele kufanya usafi tu??

ndiyooooo............na nimechunguza karibu 90% ya wakazi wa nyumba nyingine style yao ni hiyo hiyo na ndiyo maana nimeuliza. Kuna wakati nilijaribu kuleta 'mabadiliko' nikahisi italeta 'gomvi' na 'mamaa' nikaamua ku mute kwani napungukiwa nini
 
Wezi?
umehamia lini Manzese?

Mlango wa uani/jikoni unatumika zaidi kwa ajili ya kuhakikisha usalama. Mfano kama umewaacha watu nyumbani maid/watoto au ndugu, ni rahisi wakakaa huko nyuma ya nyumba wakajisahau ukatokea hata wizi. Japo ni muhimu kufanya usafi mlangoni daily. Haina tofauti na kutumia kitchen dining for convenience unless kuna wageni maalum.
 
Sio wote wana jiko ndani ya nyumba
Unasemaje hapo kwa wale ambao hawapikii kwenye nyumba kubwa wana jiko la nje mkuu

Hao mkuu watakuwa hawatumii mlango wa nyuma, hivyo joto la mlango huo litakuwa halipo kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh!!
Mr. Rocky umenifurahisha sana kwa swali lako.
 
Mkuu kwa analysis za watu humu hii topic kesho utaikuta jukwaa la mambo ya kikubwa maana inakoelekea siko kabisa
 
Mtoa uzi, ni wazi alilenga haya yanayojadiliwa ila kaona watu wengi wanauliza wazi yeye kaamua kutumia lugha ya mafumbo. Upo sahihi Mr. Rocky PAW akipita utakuta uzi umehamishwa.
 
Kila mmoja hapa ana analysis yake na njia ya kuiwakilisha ndio zinatofautiana
Kwa mtu wa kawaida mlango wa nyuma ina maana tofauti kabisa na tulivyozoea kutokana na lugha ilivyo kwa sasa
Ila kikawaida mlango wa nyuma ni mlango wa nyumba unaopitia jikoni au stoo au kokote kulingana na ujenzi wa nyumba ya mhusika
Ila lugha ndugu yangu zinagongana sana
 
Mkuu kwa analysis za watu humu hii topic kesho utaikuta jukwaa la mambo ya kikubwa maana inakoelekea siko kabisa

Ilishawekwa ikatolewa maana hata mimi niliwauloza iweje mtoa mada hajaonyeshe dalili ya kuongelea hayo yanayodhaniwa hapa alafu ipelekwe kule. Watu wengine naona wamepania kweli kuivuruga.
 
Kweli wengi wamepainia kuipeleka kule na sio dhumuni la mtoa thread kabisa
Wengi wana analysis za ajabu sana kila kitu kinapelekwa mawazo ya ajabu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom