Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya lugha.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Ekitarangwe, Apr 22, 2009.

 1. E

  Ekitarangwe Member

  #1
  Apr 22, 2009
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya wana jf kunaneno moja nataka munieleze matumizi yake.

  Nihivi Mh furani KAGONGA Wasichana wawili mjini Dar je mnapata picha gani?
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 6,428
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 63
  Ekitarangwe,

  Hili ni jukwaa la lugha na hivyo nafanya masahihisho kidogo:

  'Kunaneno' = kuna neno
  'Munieleze' = mnieleze
  'Nihivi' = Ni hivi
  'Furani' = Fulani

  Hilo la 'Mh fulani kagonga wasichana wawili' nawaachia wataalamu wengine.
   
Loading...
Similar Threads - Matumizi lugha Forum Date
Naomba msaada kuhusu matumizi haya ya lugha! Jukwaa la Lugha Dec 28, 2013
Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf. Jukwaa la Lugha Jun 1, 2012
Mkanganyiko wa maneno ktk matumizi ya lugha ya Kiswahili. Jukwaa la Lugha Mar 12, 2012
Kuendekeza matumizi haya ndio mwanzo wa kuharibu lugha na kuwa nyuma ya Wakenya. Jukwaa la Lugha Jul 14, 2011
Jamii Forums hatujui matumizi mazuri ya lugha Jukwaa la Lugha Apr 1, 2011

Share This Page