Matumizi mabaya ya Serikali

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
311
96
Jana huko wilaya ya kilombero makuu wa mkoa wa morogoro aliwaita wakuu wa wilaya zote mkoani humo pamoja na wakuu wa idara zote kwenda kushuhudia kufunguliwa kwa uvuaji wa samaki katika mto kilombero uliokuwa umezuiliwa kwa miez6,tukio hlo lingeweza tu kutangazwa na bw samaki wa wilaya pia kupitia redio lkn sio kuita watu na kutumia mafuta ya wavuja jasho,nawasilisha
 
Back
Top Bottom