matukio: RFA vs CHADEMA

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
leo katika taarifa zao kulikuwa na habari iliyo ihusu chadema na mikutano ya kutafuka wanachama wapya, wakati wanamhoji kiongozi wa chadema gafla matangazo ya biashara yakaanza kurushwa na kupelekea kiongozi huyo liekuwa akiendelea kuongea asisikike alicho kuwa anakiongea lakini kbla ya mahojiano hayo ya kiongozi wa chadema kuingiliwa na matangazo ya biashara alikuwa amesha sema kuwa chadema imepata wanachama 200 huku 20 kutoka CCM pamoja na kiongozi mmoja wa kijiji...je kitendo hiki tuchukulie kuwa ni bahati mbaya au ni hujuma..ni kwenye kipindi ya matukio saa 07:09.
 
leo katika taarifa zao kulikuwa na habari iliyo ihusu chadema na mikutano ya kutafuka wanachama wapya, wakati wanamhoji kiongozi wa chadema gafla matangazo yaanza kurushwa na kupelekea kiongozi huyo aliendelee kusikika alivyokuwa anaelezea walivyopata wanachama wapya na baadhi ya viongozi wa mabwepande waliojivua gamba...je kitendo hiki tuchukulie kuwa ni bahati mbaya au ni hujuma..ni kwenye kipindi ya matukio saa 07.09
Najua Crash una jazba sana, ebu edit maandishi yako!
Vitendo vya jinsi hiyo ni uwoga wa wamiliki wa vituo, wanahofia kuanzishiwa mizengwe, maana wengi wanaendesha vituo hivi kiujanjaujanja!
Hivi Saeed Kubenea hana mpango wa kuanzisha TV station!
 
Ueleweki sijui unataka kusema nini heading na content mbingu na ardhi.
 
Kwa kweli mtoa hoja husomeki hata kidogo!hebu jifanye wewe ndio msomaji halafu jaribu kuelewa!hueleweki mkubwa
 
Najua Crash una jazba sana, ebu edit maandishi yako!
Vitendo vya jinsi hiyo ni uwoga wa wamiliki wa vituo, wanahofia kuanzishiwa mizengwe, maana wengi wanaendesha vituo hivi kiujanjaujanja!
Hivi Saeed Kubenea hana mpango wa kuanzisha TV station!
hahahaha...nime-edit mkuu..kiukweli walini kera sana.
 
Back
Top Bottom