Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,859
- 4,910
Hapa toa mabasi yaliyokuwa yanaenda Arusha,maana tulikuwa na mikate mizuri mnooo.miaka ya Nyuma mabasi yaliyokuwa yanatokea Dar kwenda mikoa mingine yalikuwa yanajaa mikate basi nzima.... kilikuwa ndio kitambulisho kwamba mtu katoka Dar