Matukio mbalimbali niliyokutana nayo kwenye usafiri wa mabasi ya mikoani

Habar wana Jf

Katika harakat zangu za maisha nimekutana na viroja vingi sana ndani ya mabasi ya mkoani ambayo ni

1.Kukaa siti moja na mtu anayekula njia nzima kila anachokiona ananunua anakula mpaka anakuchafua na ww yan hana ustarabu wengine unakuta hatuna hela mnafanya matumbooo yaumeeee tu mara kuku mara bugger jaman mara eggchops tutakuja tuzimie bure

2.Usiombe ukakaa siti moja na bongeee anakubana anasogea mpaka kwenye siti yako na magar yetu ya masafa marefu siti ndogoo yan unafika homee umechoka maana sio kwa kubanwa kuleee

3.Mtu aliyepuliza marashi utazani harufu ya mochwari yani harufu huingia hadi tumboni na kufanya mvurugano utatamani utapike alafu ukiwa hujala sjui utatapika utumbo hebu tuwe tunachagua marashi yenye harufu za ustaarabu

4.Madereva ambao hawatak watu wachimbe dawa yani nimeshawahi kupanda basi kutoka dar hadi dodoma ndo tukasimama kuchimba dawa mnataka watu tubast vibofuu vya mkojoo au yan dereva amejikausha kama hana akili vizur

5.Abiria wanaong'ang'ania siti za dirishani ukiangalia tiket yake ameandikiwa siti inayoanza sio ya dirishan hawa wanajifanyaga wanatapika kwenye magar unashangaa mnasafir mpaka mmefika hajatapika inaonekana ni mshamba anapenda kuangalia nyumba na miti inavyokimbia

6.Pale unapondondokewa na vibegi na mikoba inayokaa kwenye keria za ndani ya basi alafu mwenyewe anajikausha unabid unyanyuke uweke vizur

Mengine mtaongezaaa nisiwachosheeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya kula kula ovyo huwa inakera
 
NASHUKURU MARA NYING NILISAFIRI NA WATOTO WAZURI.. UNATAMANI SAFARI IONGEZEKE.

ILA MWAKA 2004 NILISAFIRI KUTOKA MTWARA KWENDA DAR

ASEH, NILIKAA SITI MOJA NA MDADA ANAPENDA KULA HATARI.

ALIKULA MAYAI, MAHINDI YA KUCHEMSHA, NDIZI MBIVU, AKALA SAMAKI, AKALA SAMBUSA, AKANYWA SODA.. ASEH ALINIUDHI.

NAKUMBUKA ALIANZA KUHARISHA NA ALISIMAMISHA GARI ZAIDI YA MARA 7, MARA YA MWISHO WATU WAKAMTOLEA UVIVU KUWA AACHE USHAMBA.

NILIKUWA FORM I ILA NILIMZIDI USTAARABU.
 
nliwah kuwekwa siti ya watu watatu..mi katikati.dirishani kuna jamaa rasta anatafuna mirungi mkononi kashika fungu. na zile bigijii za pk. anachanganya..ilifika mda bigijii zimejaa mdomoni kam tonge la ugali..alitafuna mpk ubungo
upande wa pili masai kavaa yale mavazi yao ya mashuka..ila jasho lake harufu ile loh!!
nlikoma
Yan inakuwa kerooo hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wana Jf

Katika harakat zangu za maisha nimekutana na viroja vingi sana ndani ya mabasi ya mkoani ambayo ni

1.Kukaa siti moja na mtu anayekula njia nzima kila anachokiona ananunua anakula mpaka anakuchafua na ww yan hana ustarabu wengine unakuta hatuna hela mnafanya matumbooo yaumeeee tu mara kuku mara bugger jaman mara eggchops tutakuja tuzimie bure

2.Usiombe ukakaa siti moja na bongeee anakubana anasogea mpaka kwenye siti yako na magar yetu ya masafa marefu siti ndogoo yan unafika homee umechoka maana sio kwa kubanwa kuleee

3.Mtu aliyepuliza marashi utazani harufu ya mochwari yani harufu huingia hadi tumboni na kufanya mvurugano utatamani utapike alafu ukiwa hujala sjui utatapika utumbo hebu tuwe tunachagua marashi yenye harufu za ustaarabu

4.Madereva ambao hawatak watu wachimbe dawa yani nimeshawahi kupanda basi kutoka dar hadi dodoma ndo tukasimama kuchimba dawa mnataka watu tubast vibofuu vya mkojoo au yan dereva amejikausha kama hana akili vizur

5.Abiria wanaong'ang'ania siti za dirishani ukiangalia tiket yake ameandikiwa siti inayoanza sio ya dirishan hawa wanajifanyaga wanatapika kwenye magar unashangaa mnasafir mpaka mmefika hajatapika inaonekana ni mshamba anapenda kuangalia nyumba na miti inavyokimbia

6.Pale unapondondokewa na vibegi na mikoba inayokaa kwenye keria za ndani ya basi alafu mwenyewe anajikausha unabid unyanyuke uweke vizur

Mengine mtaongezaaa nisiwachosheeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka Mbeya hadi Mwanza kondakta anakuwekea bongo movies tu zile za jambazi anavua viatu nje wakati wa kwenda kuvamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
miaka ya Nyuma mabasi yaliyokuwa yanatokea Dar kwenda mikoa mingine yalikuwa yanajaa mikate basi nzima.... kilikuwa ndio kitambulisho kwamba mtu katoka Dar
Hahahahahha kweli kabisa..
Mikate mikubwa na mitamu ya dar ya mikoani yalikuwa ya hovyo.
 
Mimi nakereka sana mtindo nimelipia siti ya dirishani halafu mwingine ndio anakupangia ufungue au ufunge dirisha. Niliwahi kutoka Dar naenda Tunduma nilikaa na Mzambia mmoja yeye alikuwa hataki kabisa dirisha lifunguliwe nikamwambia tell the bus Conductor to find another seat for you, this is my Country I can do anything I want as long as I'm not breaking the laws. Halafu nikamalizia na Pumbafu!!!

Ulizingua aisee.. Ingekuwa wewe upo nchi za watu ukaambiwa hvyo ungejiskiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habar wana Jf

Katika harakat zangu za maisha nimekutana na viroja vingi sana ndani ya mabasi ya mkoani ambayo ni

1.Kukaa siti moja na mtu anayekula njia nzima kila anachokiona ananunua anakula mpaka anakuchafua na ww yan hana ustarabu wengine unakuta hatuna hela mnafanya matumbooo yaumeeee tu mara kuku mara bugger jaman mara eggchops tutakuja tuzimie bure

2.Usiombe ukakaa siti moja na bongeee anakubana anasogea mpaka kwenye siti yako na magar yetu ya masafa marefu siti ndogoo yan unafika homee umechoka maana sio kwa kubanwa kuleee

3.Mtu aliyepuliza marashi utazani harufu ya mochwari yani harufu huingia hadi tumboni na kufanya mvurugano utatamani utapike alafu ukiwa hujala sjui utatapika utumbo hebu tuwe tunachagua marashi yenye harufu za ustaarabu

4.Madereva ambao hawatak watu wachimbe dawa yani nimeshawahi kupanda basi kutoka dar hadi dodoma ndo tukasimama kuchimba dawa mnataka watu tubast vibofuu vya mkojoo au yan dereva amejikausha kama hana akili vizur

5.Abiria wanaong'ang'ania siti za dirishani ukiangalia tiket yake ameandikiwa siti inayoanza sio ya dirishan hawa wanajifanyaga wanatapika kwenye magar unashangaa mnasafir mpaka mmefika hajatapika inaonekana ni mshamba anapenda kuangalia nyumba na miti inavyokimbia

6.Pale unapondondokewa na vibegi na mikoba inayokaa kwenye keria za ndani ya basi alafu mwenyewe anajikausha unabid unyanyuke uweke vizur

Mengine mtaongezaaa nisiwachosheeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua gari yako
 
Mimi nakereka sana mtindo nimelipia siti ya dirishani halafu mwingine ndio anakupangia ufungue au ufunge dirisha. Niliwahi kutoka Dar naenda Tunduma nilikaa na Mzambia mmoja yeye alikuwa hataki kabisa dirisha lifunguliwe nikamwambia tell the bus Conductor to find another seat for you, this is my Country I can do anything I want as long as I'm not breaking the laws. Halafu nikamalizia na Pumbafu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani saa zingine baridi zinatesa,muwage na huruma wengine afya mgogoro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom