Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

Kwa weredi wa siasa utaelewa kwanini matukio haya mawili,kifo cha Mtikila na kujiondoa kingunge,haya matukio yameambatana ili kutufanya tusaau tukio LA asubuhi,weredi watanielewa,

Kwanini watanzania tunaishi kwa hisia na fikra duniduni?
 
Kwa weredi wa siasa utaelewa kwanini matukio haya mawili,kifo cha Mtikila na kujiondoa kingunge,haya matukio yameambatana ili kutufanya tusaau tukio LA asubuhi,weredi watanielewa,

Unganisha pia na tukio la wewe kutupia post hapa JF pamoja na tukio la JPM kufanya mkutano wake Babati...Bila shaka utagundua CCM imekwishakufa na sasa inasubiri maziko rasmi hapo 25.10.2015.
 
Hiyo ni theory yako tu waachie polisi na Madaktari wafanye kazi yao
Marehemu alikuwa bingwa Wa conciparacy theory juu ya ajali Na kifo cha Chacha Wangwe. Haya kama hatuamini uwezo Na uwepo Wa mungu IPO nguvu isiyoonekana inayoambatana Na maneno yetu. Leo naye kafa ajalini watu kama yeye wanaanza theories. Hata hivyo Rest where you belong Pastor
 
Kwa weredi wa siasa utaelewa kwanini matukio haya mawili,kifo cha Mtikila na kujiondoa kingunge,haya matukio yameambatana ili kutufanya tusaau tukio LA asubuhi,weredi watanielewa,
Hata kuandika neno weledi hujui hii habari haitokuwa na maana
 
Kingunge sio mzima watu tupo msibani tunaombeleza kifo cha shujaa wetu na mzalendo anatuletea ngonjera za lowassa. Pambafu kabisa huyu mzee

Ulidhani huyu ndio sawa na Wa-roba wenu mnayeweza kumpiga lakini bado anajipendekeza tu, jaribu pale uuone moto wake!
 
Labda ikulu ya panzi. sio ya magogoni

Wacha utoto wewe, ulikuwepo kwenye siasa za nchi hii tangu lini, unaonekana hata hujui kitu!
Jiulize Kingunge ana elimu gani na alikuwa anapewa wizara zipi halafu ujijibu kwa nini alikuwepo mule serikalini mpaka anazeeka hatolewi, halafu ujue ccm wamepoteza kitu gani hii leo!
Usiongee kama mtoto hapa, wakubwa zako huko lumumba mavi yanagonga chupi nyie watoto ndio hamuelewi kinachoendelea !
 
Kwa weledi wa siasa utaelewa kwanini matukio haya mawili,kifo cha Christopher Mtikila na kujiondoa Kingunge, haya matukio yameambatana ili kutufanya tusaau tukio la asubuhi,weledi watanielewa.

Kama msahaulifu hivyo, basi Una kichwa cha panzi weye! Wengine tuna interactive brains, tunacompatimentalise, na mambo yote yanakwenda sawia!'pole
 
Wacha utoto wewe, ulikuwepo kwenye siasa za nchi hii tangu lini, unaonekana hata hujui kitu!
Jiulize Kingunge ana elimu gani na alikuwa anapewa wizara zipi halafu ujijibu kwa nini alikuwepo mule serikalini mpaka anazeeka hatolewi, halafu ujue ccm wamepoteza kitu gani hii leo!
Usiongee kama mtoto hapa, wakubwa zako huko lumumba mavi yanagonga chupi nyie watoto ndio hamuelewi kinachoendelea !

Acha dhalau wewe! kuwa mdogo sio kutoyajua mambo mengi nayajua. kingunge alikuwa sangoma
 
Kwa weledi wa siasa utaelewa kwanini matukio haya mawili, kifo cha Christopher Mtikila na kujiondoa Kingunge, haya matukio yameambatana ili kutufanya tusahau tukio la asubuhi, weledi watanielewa.

Akuelewe nani mburura tu wewe.

Yaani kwa upumbavu ulionao mleta mada haujishughulishi na kuangalia Taarifa za habari kupitia TV mbali mbali na hasa ITV wameonyesha wazi na majeruhi mmoja ambaye ni mchungaji waliyekuwa pamoja na Marehemu ni kuwa dereva alikuwa anaendesha kwa mwendo kasi na hadi marehemu alikuwa akimwambia mara kadhaa kupunguza mwendo na walifika kituo cha mafuta na kuweka mafuta hapo mkoani pwani na baada ya hapo Marehemu hakuwa amejifunga mkanda na ndicho hasa kilichosababisha kifo chake kwani alichomoka kutoka kwenye gari. Sasa kati ya huyo majeruhi na wewe mleta mada Mpumbavu ni nani yuko sahihi?
 
Mkuu usijali upepo wa kingunge ushakata leo bado tunakomaa na ishu ya Mtikila na majibu soon yanakuja.

Hahahahaha majibu yapi?? Mmeshachelewa maana majeruhi wameshaongea ITV na tumewasikia na kuona majeraha yao. Mlichelewa kuwawahi muwalipe ili wapindishe ukweli kwa propaganda zenu
 
Akuelewe nani mburura tu wewe.

Yaani kwa upumbavu ulionao mleta mada haujishughulishi na kuangalia Taarifa za habari kupitia TV mbali mbali na hasa ITV wameonyesha wazi na majeruhi mmoja ambaye ni mchungaji waliyekuwa pamoja na Marehemu ni kuwa dereva alikuwa anaendesha kwa mwendo kasi na hadi marehemu alikuwa akimwambia mara kadhaa kupunguza mwendo na walifika kituo cha mafuta na kuweka mafuta hapo mkoani pwani na baada ya hapo Marehemu hakuwa amejifunga mkanda na ndicho hasa kilichosababisha kifo chake kwani alichomoka kutoka kwenye gari. Sasa kati ya huyo majeruhi na wewe mleta mada Mpumbavu ni nani yuko sahihi?
Umetumia nyundo ya kilo 50 kuuwa kasisimizi, ilitosha tu kumwambia asome signature yako huyo kima jike
 
shauri yako!

aliyekwambia dunia inasimama nani? hata nikifa saa hizi, walioko club hawatarudi, walioko arusini hali kadhalika, wanaopata haki ya ndoa huwezi wazua. Hata afe nani, dunia huwa haisimami.

kuna taarifa za mgombea mmoja kutaka kugonga gari la mgombea mwingine, zikiwa zimebaki mita tatu kuligonga gari kwa nyuma, gari la mgombea anayetaka kujihakikishia ubunge likalipuka na kuwaka moto. engine imeisha yote
 
Back
Top Bottom