Matukio machafu ya jeshi la poilisi yanaisha lini mh mwema;tuambie kama kazi umeishindwa??

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Binafsi ndugu zangu watanganyika
nimechoka kusoma habari za kikafiri na za uchafu zinazofanywa na jeshi letu la polisi kama vile linaongozwa na al shabab..si kosa kuona matukio yanayoendelea hivi sasa na kuyafananisha na uhuni na ushenzi unaofanywa na alshabab..

Ndugu zangu watanzania nina mwezi sasa kila gazeti ninalosoma nasoma

-------polisi kaua

-----polisi kaingia klabu na smg

----polisi wamekamata mali ya mfanyabiashara wakauza mali lilizokamatwa mbaya zaidi mwenye malia kaamua kujiua


--leo nasoma polisi tena wameua ..mara polisi waamua kuchunguza
mauwaji

huu ushenzi wa mapolisi unaisha lini jamani..nauliza mh mwema mzazi wangu hili jeshi linaongozwa na al shabab ama ni kuonyesha udhaifu uliopo hapo jeshi la polisi

nasita kuendelea maana naamini ipo siku askari polisi atatembeza silaha pale ikulu mtakuwa na adabu na kusema kumbe tungechukua hatua mwanzoni yasingetokea haya naomba watanzania tumuombe kwa heshima na dhati mh mwema najua uko jamvini utuambie ni kazi imeshindikana ama???umezidiwa

sioni kila siku tukae tunaunda tume za mauwaji ya polisi whyyyyyyyyyyyyyyyyyy???? Naomba kama vipi muwarudishe shuleni hao waliobakia wasije kutumaliza huku mitaani jamani

mwishonawaapa buriani wote mashabiki wa "man city""bwana ametoa "tevez"" ametwaa
jina la man u libarikiwe
 
Aiwezekani kila siku polisi kaua vs polisi kaiba
loh shame
jeshi la polisi
 
Raisi wenu shemeji yangu, mtanifanya nimi nyie? Tehe tehe tehe! Akiniletea za kuleta si namtimua dadake kama wakati uleee! Tehe tehe teheee!! Wee nanihii, ebu tuongezee nne nne kila mmoja roho yake inapenda! Sisi ndo wenye hii nchi; tehe tehe teheeeee!
 
Back
Top Bottom