Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,361
- 6,485
UNDP wametoa msaada wa kuwakilisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa internet; ndio maana MwanaHalisi 5/10/2010 wamebaini mbinu ya CCM ya kupeleka wataalamu wa IT NEC. Naomba kujua ni namna gani haya matokeo yatapelekwa NEC hasa ya Urais? Pia wabunge na madiwani?
Nilisoma kwenye moja ya magazeti ya Mtanzania kuwa yataenda NEC mara baada ya kuhesabiwa na kuwa posted kwenye mtandao, je ni mtandao upi?
Naomba NEC watuambie ni software package gani wanatumia kwenye ku-compile hayo matokeo hasa ya Urais? je, ni licensed au locally made? Je, ni open source? Kama ni locally made au open source basi source code yake inaweza kufikiwa na hao wataalamu wa IT basi haifai, kwani chakachua ni rahisi sana hapo!
Kama ni licensed na source code yake haitakiwi kufikiwa na client basi hiyo ni bomba sana. Kama posting ikifanyika, say, Kigoma; moja kwa moja data zinang'aa kwenye website na pia kuingia kwenye database usalama wa kura ni wa kutosha yaani chakachua ni ngumu kwa sababu posted data lazima ziandikiwe code ya kutokuwa na function yoyote kama delete, edit, update na kadharika.
Chakachua inaweza kufanywa kwa kubadilisha ripoti za hiyo database baada ya kuzi-print. Ninamuomba Jaji Lewis atangaze matokeo baada ya ku-produce hiyo ripoti kwenye screen na sio printed hili wote tuone kama ilivyo, si ndio uwazi wenyewe huo!
NEC tunaomba mrudishe links za voting na counting votes kwenye tovuti yenu.
Wanaohesabu kura wanaajiriwa na wakurugenzi wa manispaa kwa niaba ya NEC, kinondoni nafasi hzio zilitangazwa, je kwengine wamepatikana vipi? Au ndio hao wa Mkandara? Vyama pinzani ombeni demonstation ya namna matokeo yanavyotumwa kwa internet na display yake kwenye kompyuta kabla ya zoezi lenyewe. Trial hii ioneshwe kwenye luninga basi! NEC wakikataa basi, chakachua itafanyika.
Na katika mafunzo mafupi ya mawakala, suala hili la internet lioneshwe vizuri, maanake wasije kutumia illiteracy ya kompyuta kutuibia au kuwa babaisha mawakala wa vyama pinzani. Kwenye lile tangazo la kazi la kusimamia uchaguzi hakukuwa na sifa ya kujua kompyuta na internet sasa sijui itakuwaje jamani!