matokeo ya semista ya kwanza hapa St.
Augustine yametoka jioni ya leo, mazuri kiasi ila cha kushangaza chuo kikuu kama hiki bado kinatumia mtindo wa kizamani yaani Kubandika Matokeo ukutani!
matokeo ya semista ya kwanza hapa St.
Augustine yametoka jioni ya leo, mazuri kiasi ila cha kushangaza chuo kikuu kama hiki bado kinatumia mtindo wa kizamani yaani Kubandika Matokeo ukutani!
Kumbe saut nao huwa wanafanya mitihani?
mbona vipo vingi tu mkuu. kuna SUA, SAUTI.......mbona nikiendelea nitajaza server za watu?hivi bado kuna vyuo vina2mia mfumo wa kubandika results kwenye mbao za matangazo!!?
Mkubwa saut results zpo hewan mda kdogo sio leo toka jana au juzi me nayaona! Wangapi wa saut jaman nipokeeni mie mpya saut