Matokeo ya MISS CHITCHAT nusu fainali,haya hapa

Last edited by a moderator:
Naona ananiletea dalili za kunitongoza upya,
mwambie SIMTAKI!!!
Nilichoka kuishi maisha ya Full Suti,Mlo Mmoja,
Mwanamke nilikuwa sing'ai!!
Akhaaa!!
Anitue babu wee!!
Mpe salamu huyo.
Hahahaaaaa umeona eeeeh kaamua kuja kuanzisha mashindano ya Umiss lol
Sijui kawa Lundenga wa JF
Namfikishia sala zako
Ujumbe kwa Ruhazwe JR
 
Last edited by a moderator:
Kwaniaba ya Kipipi nasema "We are fine thenki yu Saa"


how umjibie yeye? halafu unajua braza itabidi kupitia Umoja wa Mabachela wa Chit chat (UMACHI) tukushtaki Maana kila tunapojaribu kuelekea tayari ushapeleka miguu!!
 
Naona ananiletea dalili za kunitongoza upya,
mwambie SIMTAKI!!!
Nilichoka kuishi maisha ya Full Suti,Mlo Mmoja,
Mwanamke nilikuwa sing'ai!!
Akhaaa!!
Anitue babu wee!!
Mpe salamu huyo.

Madame B kwa hyo jimbo lipo wazi?
 
Last edited by a moderator:
Nampigia kura Remmy
na pia BAGAH kasema amempigia kura Remmy ila mtandao unasumbua kwake
Pia hesabu kura ya Mr Rocky na mkewe Yummy na cacico na mumewe Asprin plus kura ya Kaizer na mkewe gfsonwin bila kuwasahau C6 wamempigia Remmy Kipipi kasema hawezi kumsahau Remmy kwenye hizi fainali Ruhazwe JR record hizo kura please
Naendelea kuwasiliana na Bishanga kuona kama ataweza kumpigia Remmy kura ila FirstLady1 na watu8 walishaahidi kura zao hazipotei wala kuharibika

Simpi Remmy kura yangu hadi anipe kitumbua alichoniahidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom