Remmy ahadi ni deni.. Timiza kwanza ahadi yako ya Kitumbua. Nina kura 35 zangu mwenyewe pia kura 23 za watu wangu wa karibu.
Remmy usiniangushe pitapita mitaani uombe kura,tumekula ng'ombe huu mkia unatushindaje?ntajiuzuru u-campain manager maana naona hujishughulishJamani ahadi zinatekelezwa nikishinda,. Piga kura tu, tena tutaenda kule Kawe bondeni kwa kamanda wetu kumchukua kasema anataka kutoka out, kachoka kukaa kwa bed.
Jimbo gani? Igunga au Arusha mjini?
NB: yanaweza yakakupata yaliyompata karani wa sensa!
Hahahaaaa ruttashobolwa hafai kama alivyo Asprin
Jimbo gani? Igunga au Arusha mjini?
NB: yanaweza yakakupata yaliyompata karani wa sensa!
Jamani ahadi zinatekelezwa nikishinda,. Piga kura tu, tena tutaenda kule Kawe bondeni kwa kamanda wetu kumchukua kasema anataka kutoka out, kachoka kukaa kwa bed.
Lipo liwe wazi?
Wajanja washawekeza tayari,
unafikiri kizuri kinaachwa?
Thubutu...!!!
Ayaaaa. Ila si bado uchaguzi haujafanyika?
Jimbo lishapata Mbunge na Askofu vilevile.
Nishawahiwa,
nakula bata mjini.
Uchaguzi ushafanyika na Rutta kachukua umiliki halali wa mwili huu.
We si ulienda kuoa juzijuzi hapa hadi ukamtangazia BAGAH hataki kuoa kisa eti anasubiri ile kampeni kule Mikoani ipite ili avue nanilii!!
Haya kwahyo ulikuwa unasemaje?
Mshahara wako sh ngapi?
Una gari?
Una Accoun?
Ina sh ngapi?
Una nyumba?
Una pamba za kufa mtu wewe?
Una..? Una..? Una..?
Wewe,utachinjwa.
Uchaguzi ushafanyika na Rutta kachukua umiliki halali wa mwili huu.
We si ulienda kuoa juzijuzi hapa hadi ukamtangazia BAGAH hataki kuoa kisa eti anasubiri ile kampeni kule Mikoani ipite ili avue nanilii!!
Haya kwahyo ulikuwa unasemaje?
Mshahara wako sh ngapi?
Una gari?
Una Accoun?
Ina sh ngapi?
Una nyumba?
Una pamba za kufa mtu wewe?
Una..? Una..? Una..?
Wewe,utachinjwa.
Dah! Basi nitakuwa katibu wa Jimbo
Wangu hayo mambo hana hata moja! Hadi sasa hajui mshahara wake Tsh ngapi,