Matokeo ya leo simba 0 bunamwaya 3 ;simba out

Pengine unaweza jiuliza vigezo gani iweje unatuletea matokeo haya anyway
si mbaya kukupa ukwelileo simba anafungwa aijalishi mangapi hayo uliyoyaona ni minimum
tu kwa bahati mbaya baada ya mechi kocha mkuu atakuja na kisingizio cha majeruhi
na kuwakosa baadhi ya wachezaji
sipendi kukwambia usiende uwanjani la hasha ni bora uamini kama MUNGU yupo kuliko usipoamini na kumkuta
siku ya mwisho
kila la kheri ndugu zanguni

Mkuu Pdidy mpira haujaisha tunasubiri matokeo.
 
P-Diddy,

Hivi matokeo ya Mnyama na Bunamwaya ngapi?

Nadhani kiwango kilicho onyeshwa na Mnyama ni kama kile cha Barcelona vs Man U.

Vijana wamenipa raha mpaka basi --

Mnyama anatisha ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom