Matokeo ya law school 5th Cohort

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
naombeni msaada, jamaa yangu mmoja yuko mkoani alikuwa 5th cohort law school kanipigia simu muda huu kuwa kuna tetesi matokeo yao yameshatoka nami sina taarifa. Kama kuna yeyote mwenye uhakika wa tetesi hizi aniarifu tafadhali niweze kufikisha ujumbe.
 
Back
Top Bottom