Matokeo ya Kutisha Chuo cha Kodi

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,061
5,393
Wanajamvi,

Ni aibu kubwa sana kwa Taifa hili matokeo ya wanafunzi wanaosomea Clearing and Forwarding (FULL TIME student) yametoka wiki hii na hali ni mbaya sana
wanafunzi waliofanya mtihani ni 107 (100%)
wanafunzi waliofaulu bila suplemetary 3 (2.8%)
wanafunzi walipata suplementary 17 (15.8%)
wanafunzi waliodisco (failure) 87 (81.3%

Jamani elimu yetu inaelekea wapi?????? kuna mambo mawili nimeona kwa haraka haraka.
  1. wanafunzi either hawasomi au walimu hawafundishi ipasavyo hivyo wanafunzi wanalimwa na external examiners ama
  2. Kuna juhudi za makusudi za kuendelea kuzalisha mambumbu ndani ya taifa hili.
nafanya mpango wa kuweka full matokeo hapa
 
Sio ajabu kwa matokeo hayo hasa ukizangatia SIFA ZA KITAALUMA za wanaojiunga na chuo hicho. Hapo inaonekana tu walimu wameamua kuwa serious na kazi yao.
 
Mimi nimesoma hapo ni chuo kizuri kama unatakaka kusoma kweli ,ukicheza tu wanakulamba hawana mzaa
 
hali ni mbaya, nadhani kuna aja ya kulifanyia uchunguzi wa kina swala hili
 
background ya hao wanachuo inaonekana ni mbovu sana, kama kweli mwalimu hafundishi pia hakubali kufelisaha ili asionekane hafundishi.

me naona bora tu ili wasomi wa ukweli wajulikane, tufike mahali tuache kubebana jamani tuambiane tu ukweli
 
Back
Top Bottom