Matokeo ya kura za Mwanasiasa bora kijana 2012"

Mwanasiasa kijana ana faida gani hasa zaidi ya kunyonya kodi zetu? Ujinga mkubwa huu.
Siasa zitapita, bali neno la Mungu litadumu milele.

hata mm ni mlokole kama ww lakini mbona kama umechanganyikiwa ndugu yangu? Au kuna pepo umeliombea halijatoka? Hujui maana ya siasa? Hujui hata neno la Mungu linatambua siasa? Ni neno gani hilo la Mungu ambalo linaaminiwa na watu wenye ufinyu wa akili kama ww?
Unadhalilisha ukristo ww au wewe ni BAR YESU?
 
Mkuu ulitaka nani ashinde? Wasira au shibuda?
Matokeo hayo ni halali na hayajachakachuliwa kama unabisha rudia kuhesabu kwa kufata maelekezo yaliyotolewa.
mkubwa ntake radhi hapo kwenye red,Lakini mkubwa,nakumbuka wewe uliweka kigezo cha kura moja kwa mtu na ndio maana mimh nikapiga kura moja kwa mtu 1 tu sasa unavyosema eti zilizopigwa nyingi ulizigawanya mimi sikuelewi na unatuhuma ya kujibu
 
MATOKEO YA KURA:
1.John Mnyika
2.Zitto Kabwe
3.Prophet G. Lema
4.Deo filikunjombe
5.Joseph Mbilinyi (sugu)
6.Nape Nnauye
7.January Makamba
8.Halima Mdee
9.Joshua Nassary
10.livingstone lusinde

"KARIBUNI KWA UCHAMBUZI NA COMPLAINTS"

1 John Mnyika
2 Prophet G Lema
3 Zitto Kabwe
 
una?"{:)4#$%^%&^*** nini!!!! Lusinde umemweka wa nini hapo, mtoe na makamba toa...hata mnyika si sana...kama hamjui KAFULILA ni safi tatizo lke ni kulia KIONGOZI hutakiwi ulie lie unapokubwa na masahibu...mtoe lusinde..bora wabaki chdema
 
mkubwa ntake radhi hapo kwenye red,Lakini mkubwa,nakumbuka wewe uliweka kigezo cha kura moja kwa mtu na ndio maana mimh nikapiga kura moja kwa mtu 1 tu sasa unavyosema eti zilizopigwa nyingi ulizigawanya mimi sikuelewi na unatuhuma ya kujibu

samahani mkuu! T waz jst a chalenge 2u, Hebu fuatilia ile post na updates zake zote kwa makini kuna majibu ya maswali yako yote.
 
Naombeni msome kwa makini Kura zilizohesabiwa ni zile ambazo wapiga kura walitaja majina ya washiriki hata kama ni majina 4 yaliyotajwa kura hizo ziligawanywa kwa watu wote waliotajwa na wapiga kura.
mkubwa! Huu sio utaratibu ulio uweka toka awali,ndio maana nasema matokeo si ya kweli
 
una?"{:)4#$%^%&^*** nini!!!! Lusinde umemweka wa nini hapo, mtoe na makamba toa...hata mnyika si sana...kama hamjui KAFULILA ni safi tatizo lke ni kulia KIONGOZI hutakiwi ulie lie unapokubwa na masahibu...mtoe lusinde..bora wabaki chdema

ndio gharama ya demokrasia hiyo.
 
mkubwa! Huu sio utaratibu ulio uweka toka awali,ndio maana nasema matokeo si ya kweli

thats according to u,
Hayo mengine mpigie simu Tendwa au subiria tue ya katiba itakapokufikia utatoa maoni yako. Thats ol
 
samahani mkuu! T waz jst a chalenge 2u, Hebu fuatilia ile post na updates zake zote kwa makini kuna majibu ya maswali yako yote.

mkubwa!wewe ulipoweka mashariti ya kwanza ulitakiwa ufatilie kama masharit yanafatwa?badala yake ukapima upepo ulipo ona memba mmoja anapigia hadi watu 4 kwa mpigo ukafata hivyohivyo,nilitegemea 1member,1vote,1choice basi!na si vinginevyo.na ndio maana kula za mwanzo watu tuliweka kula 1ya mtu 1 bila longolongo.MATOKEO NI BATIRI
 
thats according to u,
Hayo mengine mpigie simu Tendwa au subiria tue ya katiba itakapokufikia utatoa maoni yako. Thats ol
teh!teh!teh!......mkubwa! Tendwa tena!dah?haya majibu kama ya magufuli ya kupiga mbizi....ha!ha!ha!
 
Matokeo Yenyewe mbona yamechorongwa ovyo ovyo idadi ya kura I wapi sasa ?

Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums
 
hoja ni nzuri, hata hivyo hujatuambia kura hizo zilipigwa na nani? Kwa ukweli hayo sio matokeo bali ni orodha wa wanasiasa vijana maana hujaeleza kura na asilimia aliyopata. bado kuna ttarifa ya kutuambia, hiyo haikubaliki.
 
hoja ni nzuri, hata hivyo hujatuambia kura hizo zilipigwa na nani? Kwa ukweli hayo sio matokeo bali ni orodha wa wanasiasa vijana maana hujaeleza kura na asilimia aliyopata. bado kuna taarifa ya kutuambia, hiyo haikubaliki.
 
Matokeo ya aina yake haya. Hata watoto wa darasa la kwanza wakifanya mtihani matokeo yao huwekwa na alama walizopata. Haya matokeo mbona hayana idadi ya kura walizopata?
 
Back
Top Bottom