Matokeo ya kura za Mwanasiasa bora kijana 2012"

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
MATOKEO YA KURA:
1.John Mnyika
2.Zitto Kabwe
3.Prophet G. Lema
4.Deo filikunjombe
5.Joseph Mbilinyi (sugu)
6.Nape Nnauye
7.January Makamba
8.Halima Mdee
9.Joshua Nassary
10.livingstone lusinde

"KARIBUNI KWA UCHAMBUZI NA COMPLAINTS"
 
MATOKEO YA KURA:
1.John Mnyika
2.Zitto Kabwe
3.Prophet G. Lema
4.Deo filikunjombe
5.Joseph Mbilinyi (sugu)
6.Nape Nnauye
7.January Makamba
8.Halima Mdee
9.Joshua Nassary
10.livingstone lusinde

"KARIBUNI KWA UCHAMBUZI NA COMPLAINTS"
Nadhani hapo kwa Lusinde atoke liwekwe jina la Kafulila,kama tunaweka wapigania maendeleo ya nchi ni vyema Lusinde atolewe hapo lakini kama tunaweka hata machizi kwa kutukana majukwani basi Lusinde abaki.
 
Mkuu hiyo ndio gharama ya demokrasia pia unakumbuka shuka na wakati pamekucha!? Ungepiga kura mwanzo ya huyo kafulila wako.
 
mkubwa! Mi nina wasiwasi na matokeo yako umeyachakachua,ungetangaza jumla ya kura zilizo pigwa,zilizo haribika,na kura alizopata kila mmoja hapo ningekuelewa.Kwa sababu masharit uliyotoa nadhani hayakuzingatiwa,kuna membar walikuwa wanachagua watu hata watatu kwa wakati mmoja,je umezingatia masharti uliyotoa au nianze kuzihesabu mwenyewe
 
Mwanasiasa kijana ana faida gani hasa zaidi ya kunyonya kodi zetu? Ujinga mkubwa huu.
Siasa zitapita, bali neno la Mungu litadumu milele.
 
kachakachua

Inawezekana kuna member amepiga kura zaidi ya moja, au amepiga kura kwa wagombea zaidi ya moja, hajatuambia kura halali zilikuwa ngapi, zilizoharibika zilikuwa ngapi.
Mpaka Lusinde yupo! inatia mashaka
 
Mwanasiasa kijana ana faida gani hasa zaidi ya kunyonya kodi zetu? Ujinga mkubwa huu.
Siasa zitapita, bali neno la Mungu litadumu milele.
mkubwa!naomba ututake ladhi hasa tulio piga kura,tafadhali sana nitapendezwa kwa busara ulizo nazo ukatutaka radhi hasa hapo kwenye red
 
Inawezekana kuna member amepiga kura zaidi ya moja, au amepiga kura kwa wagombea zaidi ya moja, hajatuambia kura halali zilikuwa ngapi, zilizoharibika zilikuwa ngapi.
Mpaka Lusinde yupo! inatia mashaka

hata kama mimi ni mpenzi wa CHADEMA,hivi kweli Nape Nnauye utamlinganisha na January Makamba?Nape atafua dafu kwa Halima mdee,ogopa sana mtu aliyechaguliwa na wananchi,Nape atachaguliwa wapi?
 
mkuu umechakachua kama tume ya uchaguzi ZITTO hana mvuto Ukilinganisha na kamanda LEMA
 
Heshima wakuu!
Kama mlikuwa mkifatilia vizuri maelekezo ya jinsi ya mchakato unavyoendeshwa na jinsi kura zitakazohesabiwa hauta pata shida kujua nani alishinda!
Naombeni msome kwa makini maelekezo yote ambayo nilikuwa nikiya-update toka mwanzo mpaka mwisho wa mchakato ndio utapata jibu, Kura zilizohesabiwa ni zile ambazo wapiga kura walitaja majina ya washiriki hata kama ni majina 4 yaliyotajwa kura hizo ziligawanywa kwa watu wote waliotajwa na wapiga kura.
 
mkubwa inabidi nirudi kwenye ile post nijumlishe mwenyewe ntawapa jibu,lakini anipe ruhusa,na aniambie kura ya mwisho iwe ya saa ngap

Mkuu ulitaka nani ashinde? Wasira au shibuda?
Matokeo hayo ni halali na hayajachakachuliwa kama unabisha rudia kuhesabu kwa kufata maelekezo yaliyotolewa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom