Matokeo ya CHADEMA kushindwa 2015

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
itakuwa ndiyo mwisho wa dunia??
miaka 5 tena na ccm itakuwaje?
itabidi tuachane na ushabiki wa siasa tuendelee na shughuli zetu tuwapishe ccm watawale milele
nasema hivi kwa sababu mashabiki wa chadema hapa hawapendi challenge yoyote ile
kwa kujitetea ndiyo wenyewe,wengi wao hawajui kujenga hoja
learn from mistake man!
 
Nenda kajiunge na chama cha Mbatia
 
itakuwa ndiyo mwisho wa dunia??
miaka 5 tena na ccm itakuwaje?
itabidi tuachane na ushabiki wa siasa tuendelee na shughuli zetu tuwapishe ccm watawale milele
nasema hivi kwa sababu mashabiki wa chadema hapa hawapendi challenge yoyote ile
kwa kujitetea ndiyo wenyewe,wengi wao hawajui kujenga hoja
learn from mistake man!

kwa hiyo kwa pumba hzi unataka kutuambia nini wana-JF? kwamba unajua kujenga hoja?
 
Usiwe na wasi wasi, Watanzania wengi hawana vyama vya siasa. Kwa hiyo maisha yataendelea kupitia chama chochote kitakachoshinda muda huo. Mwombe Mungu akuipe maisha ili ujionee.
 
Acha uzandiki kwa hiyo wewe umejenga hoja hapo
maana mi sijaona chochote.
 
Usiwe na wasi wasi, Watanzania wengi hawana vyama vya siasa. Kwa hiyo maisha yataendelea kupitia chama chochote kitakachoshinda muda huo. Mwombe Mungu akuipe maisha ili ujionee.

asante mkuu,hivi ndivyo wanaume wanavyoongeA
 
unaona sasa!hampendi challenge nyie watu,ohooo

kaka upo sawasawa,watu wa cdm hawataki chalenge na nimewasoma kitu kimoja.
Hawataki kujadiliana na mwizi kwani wanaamini mwizi kama sheria zipo na zinafanya kazi anapelekwa mahakamani,kama sheria zinapindishwa anakula kiberiti.
Sasa waelewe chadema wameangalia ni nani kalididimiza taifa mpaka likafika hapa lilipo,nani kauza malalio yetu kwa wageni,nani kagawa madini yetu kwa wanyanganyi,nani kagawa mbuga zetu za wanyama wanabebwa wakiwa hai kuhamishia uarabuni,nani kagawa nyumba za serikali kwa wapwa na wajomba zake nani anayezunguka dunia nzima akidalalia ardhi yetu utadhani tutakufa kesho?
Kwa hayo yote utahitaji kujenga hoja gani na huyo aliyemtendea mama yetu tanzania hayo?
Tafakari kuhusu epa,meremeta,richmond,dowans,kiwira,iptl,rada,ndege ya rais,uda,trl,mbarali.

Bado hata kama utakuwa unajua kujenga hoja bado ungeendelea kutaka challenge na mtu kama huyo?
Episodes avatar yako inaonyesha ni wakiume ila sina uhakika tafakari upya msimamo wako na hao 7unaowatetea ila kama una maslahi nao si mbaya kwa muda utafaidi ila usije ukataka suluhu na mtu aliyekukamatia ndani ya nymba yake kwani miguu yako ndiyo pekee inayoweza kukuokoa.

Ila na mimi siwaungi mkono chadema kwa kutumia nguvu kwa wanaombaka mama yao tanzania.
Nilikuwepo.
 
umesema kwamba watu wa chadema hawataki challenge. Lakini pia umekiri kwamba kunahitaji majadiliano ya mambo mengi uliyoyataja kwa mustakbali wa taifa lililojaliwa rasilimali nyingi zinazochezewa na wachache kwa ubinafsi wao. Tambua kwamba chama cha mapinduzi kwa kutumia nguvu ya dola ndiyo inayokandamiza nguvu na nafasi ya chadema kujadili kuhusu mustakbali wa tanzania yenye neema inayotaka kupotezwa na kiongozi anayejifanya vasco da gama wa tanzania. Siyo lazima uisupport chadema, ukitaka utafanya hivyo.
 
kavishwe pete ya kufilwa wewe ndio utajua umhimu wako maana uanastahili kufunga ndoa na Cameroon
 
umesema kwamba watu wa chadema hawataki challenge. Lakini pia umekiri kwamba kunahitaji majadiliano ya mambo mengi uliyoyataja kwa mustakbali wa taifa lililojaliwa rasilimali nyingi zinazochezewa na wachache kwa ubinafsi wao. Tambua kwamba chama cha mapinduzi kwa kutumia nguvu ya dola ndiyo inayokandamiza nguvu na nafasi ya chadema kujadili kuhusu mustakbali wa tanzania yenye neema inayotaka kupotezwa na kiongozi anayejifanya vasco da gama wa tanzania. Siyo lazima uisupport chadema, ukitaka utafanya hivyo.
kaka mungi hapo juu kama umenielewa ni kwamba nimejaribu kukaa kwenye kichwa cha episodes.
lakini mengine nashani umenielewa.
 
itakuwa ndiyo mwisho wa dunia??
miaka 5 tena na ccm itakuwaje?
itabidi tuachane na ushabiki wa siasa tuendelee na shughuli zetu tuwapishe ccm watawale milele
nasema hivi kwa sababu mashabiki wa chadema hapa hawapendi challenge yoyote ile
kwa kujitetea ndiyo wenyewe,wengi wao hawajui kujenga hoja
learn from mistake man!
Hata nyani humcheka mwezie eti ana mkia kumbe nae anao. Kwa uelewa wako unaamini umejenga hoja?
 
Jifunze upya kujenga hoja zako na kutumia kichwa chako vizuri!Maana sioni ulichoandika kwenye thread yako!
 
Back
Top Bottom