Matokeo Rwanda, kagame aruhusiwa kuendelea kugombea urais

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
rwa+thumbs.jpg

Rwandans show their inked thumbs after voting in a referendum on December 18, 2015. Rwandans have voted in favour of constitutional change to enable President Paul Kagame to seek a third term in office.

Rwandans have voted in favour of constitutional change to enable President Paul Kagame to seek a third term in office, according to preliminary referendum results.

The National Electoral Commission announced Friday night that 98 per cent of Rwandans had voted "Yes" from results recorded in 21 of the 30 districts, representing a tally from 70 per cent of the country.

Final results are due Monday but nothing is likely to change after all polling stations recorded above 90 per cent for the ‘Yes' vote, including close to 40,000 Rwandans in the diaspora who also voted Thursday in favour of the Constitution amendment.

Kicukiro District (one of three districts that make up the capital - Kigali Province), recorded the highest disapproval with 8,114 residents, a 4.11 per cent, voting against the changes.

Kayonza District in the Eastern Province recorded the highest approval with 99.23 per cent of 191,828 Rwandans voting yes.

About 6.39 registered voters were expected to participate.

Under the revised law, President Kagame is eligible to run for office in 2017 for another "transition" term of seven years, as well as two more five-year terms.

The United States and the European Union have come out against the move to amend the Constitution, which they say is intended to secure the incumbent's longevity in power. They said it undermines democratic principles.

The EU delegation in Kigali on Friday raised concerns over lack of independent monitoring, noting that Rwanda did make necessary provisions for the international community to observe the elections.

The current constitution limits the president's tenure to two seven-year terms, of which Kagame is serving his second and final, scheduled to expire in 2017.

President Kagame has continued to deflect questions about his third term bid, leaving the country and the international community guessing, though there is wide expectation that he will.

He has been the president of Rwanda since 2000, taking over from Pasteur Bizimungu who resigned after five years as head of state.

Chanzo: The East African
 
Kagame, museveni, Mugabe, kabila na Nkuruzinza ni ndege wafananao
 
kuna member fulani humu atakuwa ana hasira mno kwa sasa.
 
rwa+thumbs.jpg

Rwandans show their inked thumbs after voting in a referendum on December 18, 2015. Rwandans have voted in favour of constitutional change to enable President Paul Kagame to seek a third term in office. PHOTO | FILE NATION MEDIA GROUP
By IVAN R. MUGISHA
Rwandans have voted in favour of constitutional change to enable President Paul Kagame to seek a third term in office, according to preliminary referendum results.

The National Electoral Commission announced Friday night that 98 per cent of Rwandans had voted ?Yes? from results recorded in 21 of the 30 districts, a 70 per cent of the country.

Final results are due Monday but nothing is likely to change after all polling stations recorded above 90 per cent for the ?Yes? vote, including close to 400,000 Rwandans in the diaspora who also voted Thursday in favor of the Constitution amendment.

Kicukiro District (one of three districts that make up the capital - Kigali Province),recorded the highest disapproval with 8,114 residents, a 4.11 per cent, voting against the changes.

http://www.theeastafrican.co.ke/news/Rwanda-votes-yes-to-allow-Kagame-extend-his-rule/-/2558/3002526/-/b479gnz/-/index.html

hiyo kura sawa na kangaroo court. hao wanaoonyesha vidole wote ni wale 'mjombaa' hebu wakimaliza hiyo drama waseme idadi ya waliopiga kura maana tunaweza tusiambiwe. madikteta tu ndio wanapataga kura karibu mia kwa mia. ilikuaga kina mobutu sese seko sadaam hussein etc.
 
Kagame akiendelea kugombea naona Rwanda itaingia kwenye matatizo na nchi tajiri na hata kuwekewa vikwazo sababu marekani inapinga hili jambo na Rwanda itaathirika kwasababu ni nchi kama nchi zingine za Afrika ambazo ni dhaifu kiuchumi
 
Nyie kalieni eti akigombea patatokea machafuko hilo sahau wanyarwanda wameisha pevuka hawawezi rudia katika machafuko wanajua madhara yake kukuzidi wewe ambaye umeishi katika amani tangu umezaliwa hujui huo uchungu,na kwa sababu hiyo ndio imewafanya wanyarwanda kumuongezea muda.
 
rwa+thumbs.jpg

Rwandans show their inked thumbs after voting in a referendum on December 18, 2015. Rwandans have voted in favour of constitutional change to enable President Paul Kagame to seek a third term in office. PHOTO | FILE NATION MEDIA GROUP
By IVAN R. MUGISHA
Rwandans have voted in favour of constitutional change to enable President Paul Kagame to seek a third term in office, according to preliminary referendum results.

The National Electoral Commission announced Friday night that 98 per cent of Rwandans had voted ?Yes? from results recorded in 21 of the 30 districts, a 70 per cent of the country.

Final results are due Monday but nothing is likely to change after all polling stations recorded above 90 per cent for the ?Yes? vote, including close to 400,000 Rwandans in the diaspora who also voted Thursday in favor of the Constitution amendment.

Kicukiro District (one of three districts that make up the capital - Kigali Province),recorded the highest disapproval with 8,114 residents, a 4.11 per cent, voting against the changes.

http://www.theeastafrican.co.ke/news/Rwanda-votes-yes-to-allow-Kagame-extend-his-rule/-/2558/3002526/-/b479gnz/-/index.html

Hakuna Mnyarwanda Mwenye AKILI Halafu Akiwa Ni Mtutsi ALIYETUKUKA Atakayeacha Kumchagua au Kukubali Rais Wetu Kipenzi Paul Kagame ATAWALE Hata MILELE Nchi Yetu PENDWA Na TUKUFU Ya Rwanda.
 
Nyie kalieni eti akigombea patatokea machafuko hilo sahau wanyarwanda wameisha pevuka hawawezi rudia katika machafuko wanajua madhara yake kukuzidi wewe ambaye umeishi katika amani tangu umezaliwa hujui huo uchungu,na kwa sababu hiyo ndio imewafanya wanyarwanda kumuongezea muda.
Umemuelewa alichoandika?
 
Hakuna Mnyarwanda Mwenye AKILI Halafu Akiwa Ni Mtutsi ALIYETUKUKA Atakayeacha Kumchagua au Kukubali Rais Wetu Kipenzi Paul Kagame ATAWALE Hata MILELE Nchi Yetu PENDWA Na TUKUFU Ya Rwanda.

We mbona hueleweki ni mtanzania au mrwanda?
 
Hakuna Mnyarwanda Mwenye AKILI Halafu Akiwa Ni Mtutsi ALIYETUKUKA Atakayeacha Kumchagua au Kukubali Rais Wetu Kipenzi Paul Kagame ATAWALE Hata MILELE Nchi Yetu PENDWA Na TUKUFU Ya Rwanda.

Duh ! Hii hatari sasa.
 
Hakuna Mnyarwanda Mwenye AKILI Halafu Akiwa Ni Mtutsi ALIYETUKUKA Atakayeacha Kumchagua au Kukubali Rais Wetu Kipenzi Paul Kagame ATAWALE Hata MILELE Nchi Yetu PENDWA Na TUKUFU Ya Rwanda.
wewe GENTAMYCINE mpumbavu, huo ututsi wako bora uubakize hukohuko uliko! kwanza nina question unyarwanda wako, pili waweza kuwa extremist wakitutsi ambaye akili zake zitakuwa zinafanana na za watu kama kina KAYUMBA ambao hapo mbeleni waliwahi kumchukia sana KAGAME eti anapendelea wahutu na wanyarwanda ambao hawakutokea UGANDA kama wao... tatu yaweza kuwa umefikia hatua ya mwisho ya extremism ambayo kama sijasahau kunakipindi jMali aliwahi kutufahamisha habari za aliyekuwa akiwaongoza INTERAHAMWE kipindi kile cha mauwaji 94! kwa jina ni ROBERT KAJUGA! mtu wa maajabu aliyeunda kundi la extremist wa kihutu kuuwa kwa lengo la kuteketeza jamii yake yote ya kitutsi... omba Mungu ufie huko kwani huku ukituletea huo ututsi wako hautakufa bali cha moto utakiona... muulize INGABIRE VICTOIRE aliyetaka kutukumbusha umuhimu wa uhutu na ututsi na mambo mengine kibao, ya ajabu ajabu kama hayo yako... cc: MUKAMASIMBA, murutongore, koba, umsolopagas, talkandtalk, lancanshire, MK254
 
Nilisoma na jamaa fulani kule China, na kutokana na Busara zake tukampa Uongozi wa Watanzania katika mji huo.
Jamaa alipomaliza shule tu tukasikia yuko Rwanda na ni Mnyarwanda na anapiga kazi huko! Tulichoka hahahahaha
 
Marekani hana ruhusa popote pale kuwaamulia waafrika waishije kwenye nchi zao ...kama kweli anafata demokrasia ni lazima awaheshimu wanyarwanda haijalishi wamepatia ama wameharibu, hata kama yeye haimpendezi kwani naamini wanyarwanda hawakuwa wanataka kumfurahisha yeyote zaidi ya kuifikiria nchi yao. Hebu Afrika tubebe majukumu yetu jamani kwani Afrika si ya wazungu
 
Back
Top Bottom