Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Asanteni Watanzania kwa maamuzi sahihi.

attachment.php



Rais wa awamu ya Tano wa JMT ni Dr.John Pombe Magufuli
 
Laiti Viongozi wa Tanzania wangekuwa na utamaduni wa kuandika vitabu....jaji ana mengi sana kichwani anapaswa kuyaweka katika maandishi.
 
Hongera Lowassa/Duni!! Pamoja na policcm, tume, mahakama na JWTZ 58% tu? Kweli Lowassa kiboko.
 
Nimeisoma siasa.unune ucheke ulie utafune chupa na kumeza au kutema mambo lazima yaende.hii ndiyo siasa.jaji lubuva mzee wangu bila kuogopa au kutetereka ametangaza mshindi wa ukuu wa nchi.na amesema huo ndio mwisho wa tume.akiwa anamaanisha tume imetimiza wajibu na imemaliza kazi. Tujipongeze watanzania woote.tupendane zaidi kuliko nyuma.siasa ni mchezo wa kupeana kijiti.leo mapadlock kesho ni wewe au mimi.ukirusha jiwe kamera zipo ukija kuomba kura tunakuonyesha.
 
Naomba wote tuweke tofauti zetu za kiimani kando tukusanyike ufufuo na uzima Ubungo tumshukuru Mungu kwa ajili ya Joshua wa kizazi hiki His Excellence Dr Magufuli. Tutaomba askofu wetu Gwajima atuongozee ibada hiyo
 
Viiiiiiva mapadlock ma alcohol .....viiiiiva.tangu mwanzo hadi mwisho umeongoza njia.kweli kabisa Mungu huandaa wateule wake aliowachagua.Hongera Magufuli.
 
HiviMwenyekiti wa Nec uchaguzi Mkuu alikuwa nan? Hayati Francis Nyalali ambaye alionekana kuwa kijana zaidi ya jaji Lubuva? RIP.
 
Sina shaka vikwazo vya bajet viko wazi sasa toka Umoja wa nchi za Ulaya na Marekani, waliangalisha hayo uchaguzi mkuu uliopita Mwenyekiti wa NEC hayati nani sijui, lakini CCM imerudia makosa yaleyale, tutaficha wapi nyuso zetu. Tulikozoea kujipitisha kuchekacheka na kupitisha bakuli la ombaomba?
 
Back
Top Bottom