matokeo mabovu ya Form IV. Chanzo ni Ndugai tena akishirikiana na professor Maghembe?

Lakisipesa

Member
Apr 1, 2012
20
11
Wakati taifa likipigwa na butwaa kuhusu matokeo ya kidato cha nne. hebu tujikumbushe watu waliotufikisha hapa tulipofikia ...... soma gazeti la wakati huo mchakato wa kudidimiza elimu ulipoanzia na wale wabunge wa chama tawala walipoushangilia. fungua hii link hapa chini

OPEN HEART, OPEN MIND: Hakuna tena kurudia 'form II'


Ifike wakati tuanze kuwawajibisha viongozi kwa maamuzi yao mabovu yaliyolisababishia taifa hasara kama hii sababu haiingii akilini professor mzima anakuja na uhamuzi wa kipuuzi kama huu.
 
Back
Top Bottom