Mathematician Kuna kichwa hapa

Poriposha

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
303
68
Find the value of x, I need solution please not answer without soln...

2[SUP]x[/SUP]=4x (two power x equal to four x)

Solution plzzzzz is what i prefer!!!
 
4
---------------------------------------------------------
 
Tulishasolve hili suala. Pekua kwene makabrasha ya JF, wewe ndio uache uvivu.
 
Kama matumizi ya hiyo hesabu ni kuwaondoa mafisadi nitaifanya.

Watu wametumia hesabu za high prime numbers kuingiza encryption katika computer na hivyo kuondoa ufisadi katika computer, acha kufikiri kwamba hesabu hazina maana katika maisha. Kama hujui/ huwezi hesabu sema tu.

Utawezaje kufanya accounting na kujua kama pesa zinaibiwa na mafisadi bila kujua hesabu rahisi tu?

Are you serious?
 
Jarbu kupekua kwenye mafaili utakuta hii mambo ipo solved.
 
Hii hesabu ilileta ubishi mwingi sana.

Ukifanya kwa log hautomaliza.

Chora graph ya y=4x na graph ya y=2[SUP]x[/SUP]hapo kwenye intersection ya hizo graph ndo jibu lako.

Husninyo alidanganya kwenye solution yake.
 
Graphical method is the most apropriate appropriate y=2^x then linear eqn y=2x record the intersection points as u answer
 
2^x=4xSoln:introduce ln both sidesxln2=ln(4x)xln2=ln4+lnxxln2=ln(2*2)+lnxxln2=ln2+ln2+lnxxln2-ln2-ln2=lnx(x-1-1)ln2=lnxln2(x-2)=lnxThen introduce e both sides gives2(x-2)=x2x-4=x2x-x=4x=4The anser is 4Proof:2^4=164*4=16therefore 2^4=4*4
 
2^x=4xSoln:introduce ln both sidesxln2=ln(4x)xln2=ln4+lnxxln2=ln(2*2)+lnxxln2=ln2+ln2+lnxxln2-ln2-ln2=lnx(x-1-1)ln2=lnxln2(x-2)=lnxThen introduce e both sides gives2(x-2)=x2x-4=x2x-x=4x=4The anser is 4Proof:2^4=164*4=16therefore 2^4=4*4
Hapa hamna ubishi aisee...but solution yako ipo rough! ungeedit utumie space! au ni mambo ya kukopi na kupesti?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom