Mathalan umekutokea mtihani kama huu utafanya mamuzi gani?

Darling umechanganyikiwa nini? nitakasirika sasa hivi! Naomba utoke huko bar counter naona kunakuchanganya!

Lol! Sorry mchumba. Nilifikiri leo utashinda kliniki kumbe umewahi kutoka. Ngoja turudi kwenye topic, yale majamaa yakiamka yatatuwashia moto.
 
Ni PM fasta basi dada. Hapa naona tunaenda off topic, wale jamaa wakiamka itakuwa balaa.

Hao tutawamudu tuu wala wasikupe tabu. huyo jamaa kwenye topic atakuwa analazimishwa kufanya so practically atakuwa anabakwa na mwanamama huyo.ushauri nimeshampa hapo juu sijui chini
 
mimi huwa simegi.
lakini hata nikimega haruhusiwi kuhoji

du, sio Nyamayao huyo, hao wanawake wenu mnawapa nini mpaka wawe viziwi/vipofu ki hivyo? cruhucwi kuhoji? ohaaa tutakesha walaaah.
 
Hao tutawamudu tuu wala wasikupe tabu. huyo jamaa kwenye topic atakuwa analazimishwa kufanya so practically atakuwa anabakwa na mwanamama huyo.ushauri nimeshampa hapo juu sijui chini

Naomba nifafanulie hiyo red.
 
du, sio Nyamayao huyo, hao wanawake wenu mnawapa nini mpaka wawe viziwi/vipofu ki hivyo? cruhucwi kuhoji? ohaaa tutakesha walaaah.
wewe bado hujapenda!tena hamnaga watu weupe kama type yako.ukiukubali mpini wewe utasahau kwenu
 
Watu wengine mnabahati halafu mnazichezea! Acha kupoteza Muda Pima oil hiyo....
 
wewe bado hujapenda!tena hamnaga watu weupe kama type yako.ukiukubali mpini wewe utasahau kwenu

nampenda sana mr na anajua kuwa nampenda/namjali, lakini upuuzi anajua kwangu hauwezekani kabisa, yaani hauna nafac....upo hapo?
 
nampenda sana mr na anajua kuwa nampenda/namjali, lakini upuuzi anajua kwangu hauwezekani kabisa, yaani hauna nafac....upo hapo?

how do i prove it?
na je,kwa huyo rafiki yako aliyekuja mombasa upuuzi una nafasi kwake?
 
Yani watu wa humu hawajatulia kwa kweli.Mnavyosema mnamega mjue na wake zenu nao wanafanyiwa hayohayo,na msingefanya basi na wako hatafanyiwa.
Mkumbukeni YUSUFU wa Israel enzi hizo.alimkimbia mke wa bosi,akasingiziwa alitaka kubaka lakini siku moja ukweli ulijulikana na heshima yake iliongezeka mara mia kidogo.Na wewe ukifanya na ikigundulika heshima yako yote itapotea.

Million Thanx! Umenena!-Tanzania Bila UKIMWI inawezekana x100!
 
how do i prove it?
na je,kwa huyo rafiki yako aliyekuja mombasa upuuzi una nafasi kwake?

G hapa tunaongelea ishu ya wewe kusema hata akijua umefanya hatakiwi kukuhoji, c ndio? mie ndio nakwambia kuwa kukuhoji nitakuhoji sana tena sana na baada ya hapo ndio nitajua kifuatacho, huyu frnd wangu yeye anasema ameshindwa kusahau kitendo mr wake alichomfanyia pa1 na kumjali kwa namna moja au nyingine lakini matokeo yake ndio kutendwa na yeye akaamua kufata njia anayoiona ni sahihi kwa upande wake, nadhani unaelewa hapo kwamba mr ndio alianza mke kamalizia coz ali prove kabisa na imani kwa mr wake ikamuishia akachagua plan b, sasa ndio hayo mnayoyataka kwenye nyumba zenu? na hapo ujue akibeba mimba mr wake atalea kama wake kumbe sio, unaona game hizo?
 
no no no no no no no no!
GOD FORBID!nikifanyiwa hili i gotta shoot a woman
 
haya mambo bwana yasikieni tu hapa watu wanongea kujifurahisha teh teh hamna lolote
 
no no no no no no no no!
GOD FORBID!nikifanyiwa hili i gotta shoot a woman

unaweza mpaka ukaingia kaburini ucjue lolote, wacheni bwana nyie yaani nyie mnavyojiona mnajua kucheza game mjue na wanawake wanajua pia, ki ukweli huyu frnd wangu alikuwa namjali/kumpenda sana mr wake lakini tamaa za mr zikampasua nyongo dada wa watu akafanya anayofanya kwa kulipiza kisasi sasa kanogewa na huyo mzee mpya hajali lolote kwa mr wake, sasa mnaona mnavyobadilisha akili ya mtu kutoka kulia kwenda kushoto? hakuna maelezo hapo mr atalea mtoto kama ifuatavyo na baba halic atamtunza mtoto wake pia....mkiambiwa mtulie na wake zenu hamckii ndio mambo kama haya yanawakuta.
 
Back
Top Bottom