Hello JF mebers! mm ni mwanafunz na nimekuwa na tabia ya kutumia laptop kusomea kila siku coz material niliyonayo mengi ni soft copy. kwa sasa ni takribani mwaka wa pili huu ninatumia bila protection yeyote na huwa natumia hata zaid ya masaa sita per day.
Je ni matatizo gan ya kiafya yanayoweza kunipata baadae na hata sasa hiv?
Je nn cha kufanya ili nisiwe affected?
Je ni matatizo gan ya kiafya yanayoweza kunipata baadae na hata sasa hiv?
Je nn cha kufanya ili nisiwe affected?