Matatizo ya Tanzania na mapendekezo ya wana JamiiForums

Augustine Moshi,
Hivi tumepiga kelele hii toka lini vile?... na hakuna kitu zaidi ya JK kutufunga kamba nyingine..Hivi kweli kuna njia hapa na tutaweza vipi kusimama dhidi ya viongozi wetu?
Kichuguu,
Baabu kubwa mzee, hiyo ndio reality bob na sujui lini tutaamka!
 
JK zeroes in on drug barons .Govt forms secret task force to probe drug millionaires

Source: http://thisday.co.tz/News/976.html

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE government has formed a secret task force to investigate and act on all drug syndicate operations in Tanzania, THISDAY can reveal.

This follows a pledge by President Jakaya Kikwete to deal decisively with the influx of drugs and 'dirty money' into the country.

Sources within the government confirmed that the task force is already operating round the clock in collaboration with several international institutions.

''The team is a combination of highly credible officers from the police force, the intelligence and Government Chemist Laboratory Agency. They also have full support from International Police (Interpol),'' sources said.

According to our sources, the team is currently working on the list of top drug dealers and traffickers which some 'Good Samaritans' presented to President Kikwete mid this year.

The sources add that the team is already investigating links to the list of shame that includes, among them, senior government officials, prominent politicians, top clerics and businessmen magnates.

As well as the suspected dealers, the team is also investigating all possible peddling routes through which the drugs come into the country.

''The team is backed by detectives who have already interrogated some influential people in Dar es Salaam,'' the source said in confidence.

President Kikwete has admitted that the use of narcotic drugs should be checked immediately, and has since confirmed that he has started acting on a dossier that contains details on how the drugs syndicate operates in Tanzania.

The President revealed this during a recent meeting with editors early last month, at which he assured Tanzanians that the government would tackle the problem from the grassroots level.

Sources said the government is investigating the alleged drug barons making millions from high-quality imports of cannabis, cocaine and heroin direct from Malawi, Pakistan and Afghanistan before re-exporting the bounty abroad through their syndicated routes.

''The rapid growth of the market is creating overnight multi-millionaires who invest their newfound wealth in other areas of criminality. Most of them are close or within the political system, they are very strong and some even call themselves 'untouchable', but this time they are in for it, they are no longer safe, not at all,'' our police sources confirm.

The Inspector General of Police, Said Mwema, is in the process of reforming the Anti-Narcotic Drugs Unit. He recently appointed a new commander, Senior Superintendent of Police (SSP), Godfrey Nzowa to replace SSP Afwilile Mponi, who has been transferred to police headquarters to be assigned other duties.

SSP Mponi's tenure was tainted early this year when millions worth of drugs were stolen while under police custody at the anti-drugs unit at Kilwa Road in Dar es Salaam.
 
This is sick!!!

US$100K for rasilimali ya watanzania na nchi kwa ujumla?

This is really sick. I may go back and side with Mugabe for a moment.
 
MR. PRESIDENT

With all due respect please take a look at this issue.

If this is so true, its a shame for a Tanzanian to be part of this trend of individual teaming with foreigners to steal country wealth. I cannot believe these individual call themselves Tanzanians.

Mr. President, that's all I am asking for today.
 
Mkandara,

Ni kweli hili tatizo la uporaji wa rasilimali za taifa tumelipigia kelele siku nyingi. Hali halisi iko kama hivi: Serikali ya CCM ina haki, au inajiona ina haki, ya kuwekeana mkataba wowote inayotaka na wageni, au na wezi wa ndani ya nchi. Kama huo mkataba unahujumu uchumi wa taifa (kama ilivyo mikataba yetu ya madini na mingine) wananchi hawana njia ya kukataa. Bunge letu limekuwa Bunge la mzaha.

Tuko katika hali ya kuibiwa na vibaka wa kimataifa wakishirikiana na serikali yetu. Njia ya kawaida ya wananchi kukataa kuibiwa na viongozi ni kwa kura zao, lakini kwa bahati mbaya watawala wetu wana uzoefu mkubwa wa kuwaibia wananchi sio mali tu bali hata kura zao.

Tunadhulumiwa kisheria. Serikali imewawekea kifua wawekezaji watuchukulie dhahabu yetu, kisheria, na tubaki na 1.1% tu ya fedha inayopatikana. Tutabaki vile vile na uharibifu wa mazingira unaotokana na uchimbaji madini.

Augustine Moshi
 
Power comes with responsibilities. Many of our political leaders want power but don't know how to exercise resposibilities that come with that power. As such they use power to do things as if they have no brains.The trend is very alarming: kilimanajaro-> kichuguu->bonde->korongo kuu.

Mungu tusaidie utuondolee viongozi wapuuzi wanaomaliza rasilimali za nchi hii. Akina Mzee Mkwawa, Kinjikitile, Kimweri, Meru, na watemi wengineo walikuwa tayari kupoteza uhai wao kuhakikisha nchi hii haitukanwi lakini leo viongozi wetu wanashindwa kuwatunzia heshima babu zetu hao kwa kuitukana nchi hii kama vile haina watu.
 
kichuguu said:
Power comes with responsibilities. Many of our political leaders want power but don't know how to exercise resposibilities that come with that power. As such they use power to do things as if they have no brains.The trend is very alarming: kilimanajaro-> kichuguu->bonde->korongo kuu.

Mungu tusaidie utuondolee viongozi wapuuzi wanaomaliza rasilimali za nchi hii. Akina Mzee Mkwawa, Kinjikitile, Kimweri, Meru, na watemi wengineo walikuwa tayari kupoteza uhai wao kuhakikisha nchi hii haitukanwi lakini leo viongozi wetu wanashindwa kuwatunzia heshima babu zetu hao kwa kuitukana nchi hii kama vile haina watu.

Good point!
 
Huyu spika anatishwa watu hata kuliko alivyokuwa akifanya mzee MSEKWA!

HUYU ANAONEKANA NI BOMU LA KUTUPWA ETI ANASEMA NI SPEAKER WA STANDARD AND SPEED!

HAYA NINOANA KWELI ANA UWEZO WA KUTUMIA SPEED GOVERNOR KUZIMA DEMOKRASIA AKISAIDIWA NA PM WETU!

NINADHANI JK INABIDI AWAONYE HAWA WATU WAWILI KUWA WAKO HUMO KWA AJILI YA KUTUMIKIA WATANZANIA WOTE NA SI CHAMA KIMOJA TENA KWA MASLAHI YA WACHACHE KWA MAANA NINAAMINI SO CCM WOTE WANAOTAKA KUUA DEMOKRASIA.

ZITO KABWE SI AKAE KIMYA TUONE NA AKUBALI ADHABU YAISHE!!
 
Mara nyingi najiuliza kwa nini tuna jamii laini, ambayo haiwezi kutengeneza watu kama Ken Saro wiwa? Inakuaje viongozi wetu wanaichukulia nchi kama mali yao? Hawaogopi kwa sababu wanafahamu wananchi tuko kimya mno,hatuwezi kuwafanya lolote!

Mali zetu zinazidi kuondoka na mwananchi anaendelea kubaki masikini. Kwenye filamu ya Mapanki, mmoja ya waendesha ndege za minofu anasema " kwa ajili ya XMASS mtoto wa ulaya anapata mnofu, wa afrika ana pata risasi(bullet)".Msemo huu ulinchoma mno. Ndio mtindo uliopo hata kwenye madini,tunanachiwa mapanki(mashimo).

CHADEMA,wakati wa kampeni waliinadi sera yao ya majimbo kama moja ya suluhisho ya kuwezesha wenye mali kufaidika na rasilimali. Sera ile inaweza kuwa mwanzo mzuri wa kuanzia mjadala wa kumnufaisha mwenye mali.
 
Nashindwa kuelewa kabisa. Tunapewa asilimia 1.1 ya mali yetu wenyewe. Ujuha mtupu.

Jamani eeh....serikali jeuri, bunge kibogoyo(halina meno), wananchi usingizi wa pono. Suluhisho ni nini?
 
Kwa sasa, tuchanganue wezi wetu ni wepi, na wizi wenyewe unafanyikaje. Kama wananchi hawawezi kutetewa na wabunge wao, basi kuna siku itabidi wasimame kibudi washughulikie wezi wao wenyewe, kwa njia wanazozijua.

Usipositishwa huu wizi mapema, basi itafika siku wezi hawa wa nje, na washirika wao serikalini kwetu, watakuwa wanapigiwa kelele za "MWIZI!" popote waonekanapo, na wananchi, kwa pamoja, watawashughulikia kama wanavyoshughulikia vibaka wengine. Hilo ni onyo.

Kimya kingi kina kishindo kikuu. I will paraphrase a popular saying and say: "You can steal from some of the people some of the time, but you cannot steal from all the people all the time".

Augustine Moshi
 
Naamini moja ya sababu inayofanya vyama vya upinzani vizidi kufeli ni ukweli kuwa:
-Taifa la Tanzania (haswa iliyokuwa Tanganyika) limelelewa kama Taifa la chama kimoja, taifa la wakulima na wafanyakazi, la Ujamaa na Kujitegemea. Vyama vingi vilipoingia ikawa ni change ya makabrasha na majina ya vyama bila 'social change'.

Kukosekana kwa social change ndio kunafanya leo tuone kufeli kwa upinzani, kwani ukweli ni kuwa hata hao wapinzani mioyoni mwao hamna 'change' iliyotokea hadi wao kuwa wapinzani, walikuwa tu na wao wanaendelea kutimiza lile 'taifa la wakulima na wafanyakazi', wao wakiwa wafanyakazi kwenye siasa. kwa vile wao ni 'wafanyakazi' ndio maana leo tunawaona wakiomba upya ajira CCM, au kushawishiwa ajira nono CCM.
Kwa hiyo, kwa mtazamo wangu nina maswali yafuatayo:
- Je, ni kweli kuwa tunataka kuwa taifa halisi la vyama vingi?
- Vyama vingi vitatusaidia kwenye safari yetu ya maendeleo?

Basi, kama ni kweli tunahitaji taifa la vyama vingi, basi tunahitaji social change sio change ya kwenye makabrasha

Huwa Inakujaje? Wajumbe karibuni:)
 
Watanzania watafanya la maana tu kama wanaongozwa vizuri. Tanzania haina uongozi wowote ule!
 
Kikubwa walichokifanya Watanzania ni kuendelea ku-dance to the tunes of "kisiwa cha amani" licha ya majambazi kuendelea kukimbilia kwenye siasa,mikataba ya kiendawazimu na makampuni kama richmond, kupata viongozi like JK na lowassa ambao wameamua kuwa wanasayansi/wanamazingaombwe na kuigeuza TZ kuwa maabara ya majaribio yao ya uongozi...list goes on.

Watanzania wamefanya mambo makubwa sana ktkt miaka 45 hii,ndo maana wakati unakutana na walalahoi hawazishambulii VX,Benz,BMW zilizopatikana kwa wizi wa kodi na hazina za watanzania japo walalahoi hao wanatembea kwa mguu kuvuka bonde la jangwani na wengine wanaimega salender.

Ndio hao Watanzania ambao jana walijazana neshno stedium (pengine ashauziwa mtu) kuungana na majambazi wa raslimali zetu kusherehekea birthday ya nchi hii isyojua inakoelekea.
 
Huenda sintapata muda wa kutosha kuchangia kwa kina mada hii hadi hapo mbele kidogo; ila ninaombe tuangalie kwa undani kwa nini China na India zinaengelea harakaharaka wakati Tanzania hatuendelei katika viwango halisi. Tuna bahati ya kuishi na wahindi na wachina hapa kwetu. Je tunatofautiana nini nao kiasi kuwa wao wandelee kwa haraka vile kuliko sisi wakati historia yetu mwanzoni mwa miaka elfu na mia tisa hatutofautiani sana?

Ninafahamu miaka ya sabini tulikuwa tunaongelea Japan, halafu miaka ya themanini tukaongelea Taiwan na Singapore, baadye miaka ya elfu mbili tuna China na India. Je kuna uwezakano kuwa miaka ya elfu mbili na kumi na sisi tukawamo? Je viongozi wa China na India wana sifa gani kulinganihs ana viongozi wetu?
 
Kichuguuu

Looks like you have drited from the JF norms by bringing an interesting thread and i wish more people in here were like you

That said i am not sure we Tanzanians should copy the chinese of Indian way in terms of economic development but we dont have much options do we?

Was watching MSNBC couple of weeks ago and the topic was how fast would the Chinese and Indian economies grow but the interesting part was when they mentioned that the Chinese governemnt may be slowing the economy down due to increasing social strife. The gap between the rich and poor here is huge.(they showed see people living on the side of streets picking up rubbish to sell, on the same streets where Mercedes and Lexus cars are abundant)

Persnally,I'm a firm believer in the "cycle" theory, where all cultures and societies will go throught the same processes. Just that the Chinese industrailisation process is going too fast due to foreign policies and trade. This may be the reason why people think that the Chinese economy is overheating. They think that the economy is too big for its age and is growing too fast. There are certainly multiple reasons for slowing down economy. There is the concern for social inequality, the environment, increasingly huge energy consumption for industries. There is also the concern for bad loans (especially lent to SOEs), speculative investments which may prove to be huge bubbles, and overproduction - meaning some industries are producing far more products than could be exported or consumed by domestic population.

What China seems to be doing now - as widely reported - is to raise wages and encourage domestic consumptions to counter the heavy dependency on exports - which could be threatened if Yuan is to be reevaluated under US pressure.

Also recall that the pace of industrilisation - if you take it to mean institutional reforms, market liberalisation and introduction of FDI etc. - has been in fact deliberatedly controlled, and kept slow by the government so as to proceed in a more gradualist fasion - which has been extremely successful (as opposed to the IMF and World Bank's 'shock therapy' adopted in Russia and countries of former Soviet bloc which proves to be disastrous). In this respect, the government is now trying to tighten its grip (e.g. on provincial level of government, the recent dismissal of Shanghai party leader is at least in part due to its reluctance to take order from Beijing) so the economy can again be run under the guidance of the government.

We still have a long way to go but thats my 2 cents on China and i hope Mwanagenzi or someoneelse will drop in some lines
 
Kichuguu,
Mimi naamini kabisa kuwa yapo mazuri toka China na India ambayo tunaweza kuyachukua na yakafanya kazi kwetu. Either way social inequality lazima iwepo popote pale lakini sii kwa kiwango tunachokwenda nacho sisi Tanzania. Dr.WHO hata China wana nafuu ya kasi ya gap kati ya maskini na Matajiri. TZ tunayoyoma ktk barabara kuu bila huruma na kibaya zaidi hatuna investment kubwa kwa taifa la kesho. Matajiri wote TZ ni wageni ama wale wenye uraia wa nchi mbili na wazawa wa nje.
China sasa hivi kuna mabepari wakubwa sana lakini Wachina na sio wageni kisha mali zote bado zipo mikononi mwao. India pia wao hiyo gap ilikuwepo toka Mungu kaiumba dunia maanake Wahindi wanaamini kuwa binadamu wote tumeumbwa kwa vipaji vyetu.. yaani wapo wahindi waliojaliwa kushona viatu basi hao hata wasaidiwe vipi ktk biashara nyingine hawawezi kwenda mbele ila kwa biashara za ushonaji viatu. Omba omba watakuwa ombaomba hadi kiyama hata ukiwapa chakula, mtaji wataharibu ili warudi barabarani kuomba. Hizi ni imani zao ambazo sisi hatuna haja ya kuzifuata ila tunaweza kutambua vipaji pia kwa mtazamo mwingine.
Hata USA wapo maskini ambao tukiamua kupiga picha leo hii hakuna mtu anaweza kuamini kuwa hawa watu wapo Marekani na tunaweza kuanzisha mada mpya kuulizana kama kweli huu mfumo unatufaa.
Yote haya yasiwe kisingizio cha sisi kutochukua mkondo fulani bora kwa uchumi wetu.
Na ndio maana mimi nimekuwa na ndugu yangu Eric Ongara ktk ile mada ya Freeman ili tukisha kubaliana ktk mfumo wa utawala then tungeingia ktk uchumi lakini ndio hivyo naona mada imeisha hamishwa!..
Imepotea
 
unajua mimi nilikuwa mmoja kati ya watu ambao ni mashabiki wa Globalization na nilifanya makosa kusema kuwa nchi kama Tanzania ili kuendelea ni lazima tuwe na viwanda and s on lakini the most fundamental thing achacho inabidi tufanye ni KULIMA

Yes kilimo ambacho sasa tumekidharau ni muhimu sana. na hii ndio maana nchi kama Malaysia wamefikia pale walipo.Kwanza inabidi kujua ni nani ananegotiate kwa niaba yetu na jamaa wa WORLD BANK -DAR kwa sababu they are giving in too much kwenye issue nzima ya POVERTY REDUCTION STRATEGIES ambayo of course ni carbon copy ya SAPS

Pili ni kuinvest katika kilimo kwani huwezi kuendela kama nchi kama huwezi kuwafeed raia wako, na hiii itasaidia zaidi kama kilimo kikapewa kipaumbele kwa kuintriduce kilim cha kisasa kama nchi ya VIETNAM walivyofanya japo wao zaidi ni kwa kudefy PRSP's za WORLD BANK

Tatu inabidi wanasiasa kweli waonyeshe kam kweli wana commitment na suala hili na serikali ingejaribu kuwa na LOOK EAST policy kwani naona wazungu wanatuchosha tuuu kila siku wao ni misaada tu wakati juzi naona wanagoma kuachia walau mwanya tupumue kule DOHA ROUND OF TRADE NEGOTIATIONS

sasa swali je serikali inayo guts hiyo au ndio siasa za kuongopeana?
 
Kwa kweli hii ni mada nzuri.Kwa mfano tukiangalia India kuna ma gap makubwa ya class za Chini na Juu.Haya wao wameyahalalisha,Hadi kwenye suala la kulipa ada hata kama ni private College utakuta option ya class yako kwenye kujaza fomu.Ata ivo sisi tunaweza tusiwe na classes ila tukamwangalia maskini kwenye huduma kama hizo.
Halafu India kwa kweli wamewekeza kwenye kilimo Bwana.Sloganiyao haitofautiani na ya kwetu kwamba KILIMO NI UTI WA MGONGO.Tofauti hapa ni kwamba India Wanamaanisha kwani ukiangalia Pato kubwa wanategemea kilimo.Wamefikia hatua sasa wana ruzuku kilimo.Na kilimo kikubwa wanachofanya ni cha Umwagiliaji,wanatumia wataalamu wao kujenga system za maji from main sources like mito mikubwa nk.
Halafu Wizara yao ya kilimo na ya Biashara wanajua nini objective yao na kweli woko serious kwenye suala la masoko ndio maana huwa wanakua wakali kwenye WTO.
Pia wako serious sana na Imfrastrucure.
 
Kwa mambo yoye wanayofanya tusije tukaiga kutengeneza counterfeit drugs, counterfeit spare parts (even aircraft spares!!), software piracy, counterfeit electrical appliances, counterfeit everything.... Mnakumbuka ile documentary ya BBC kuhusu matumizi ya fake drugs from India ambayo zilileta kizaazaaa Nigeria??
 
Back
Top Bottom