nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo ambalo linakuwa kama linawaka hivi
baada ya kufanya Liver Function Test majibu yamekuwa kama yanavyoonekana.
LIVER FUNCTION TEST
SERUM ALBUMIN HIGH 51g/l kawaida 35-50
SERUM TOTAL PROTEIN HIGH 83g/l kawaida 60-80
SERUM GLOBULIN 32g/l kawaida 19-35
ALK PHOS 95g/l kawaida 35-125
SERUM TOTAL BILIRUBIN LEVEL HIGH 39umol/l kawaida 2-17 Hii ni DANGER
SERUM ALT LEVEL 22U/L kawaida <35
SERUM GAMMA GT LEVEL HIGH 60u/l kawaida <50
Hapa dar wapi nitapata daktari bingwa wa wa INI maana naona ninamatatizo makubwa
Ushauri na maoni tafadhari roho inanienda mbio