Matapeli wanajuwa kubahatisha

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Matapeli wanajuwa kubahatisha, hii nimeikuta kwenye in box yangu:

[h=2]
icon1.png
Hi[/h] Hi My name is Juliet i am new in this site i saw your profile photo today and admire it i will like you to contact me back through my private email so that i will tell you more about me and send you my photo for you to know me better. Note:contact me direct to my private email because i don't normally visit this site. My private email is....julietsalman4u@hotmail.com

Picha aliyoipenda ya kwenye profile yangu ni hii:
unknown.gif
kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Du,hiyo kali.Wako wengi sana hao jamaa.Mie nimekutananao mara nyingi sana kunako box langu na wengi wanajifanya ni wa ivory coast na wazazi wao walikufa kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na kwa sasa wanaishi kwenye makambi ya wakimbizi.Ila kubwa lilonishangaza zaidi ni jamaa fulani ambao waliniandikia barua kabisa kutoka South Africa wakitaka kutengeneza deal na mimi na ni mara mbili nimezipata barua toka kwao huku zikiwa na mihuli ya posta toka south,dsm,Mtwara mpaka wilayani kwangu masasi huko.hawa jamaa ni noma kabisa na usiombe kuingia kwenye 18 zao.
 
Matapeli wanajuwa kubahatisha, hii nimeikuta kwenye in box yangu:



Picha aliyoipenda ya kwenye profile yangu ni hii:
unknown.gif
kwi kwi kwi teh teh teh!

Yeah_mazomba woote ndio wanalizwa kwa namna hiyo.
 
Nyie wote mnaotapeliwa mna sifa ya aina moja "Mnataka mafanikio ya harakaharaka yaani tamaa zimewazidi"acha mbamizwe washamba sana nyie.
 
Back
Top Bottom