Matangazo ya tiba ya "Bure" ya Malaria ni upotoshaji wa gharama

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Kuna matangazo ya dawa ukoko za kupambana na malaria.
Tatizo kubwa kwenye tangazo hili ni ujumbe unaotolewa kuwa gharama zote zinalipwa na serikali, ukweli wa mambo kuwa serikali haina hela bila ya wananchi, kwa nini sasa tangazo hili halielezi ukweli kwamba gharama zimelipwa kutokana na kodi za wananchi?
Nadhani sasa umefika wakati wasomi na watu wote wenye uelewa watoe elimu ya uraia kuhusu namna serikali inavyopata pesa na matangazo ya namna hii yapingwe kwa nguvu zetu zote.
 
cku hizi hata siangalii tv na rdio uchwara za bongo.nikashapita jf inatosha najua hata hotuba ya mkare ya ijumaa
 
Back
Top Bottom