Nikionacho mimi ni matumizi ya lugha tu yamekuwa "wrongly interpreted".
Ni binaadam yupi awezae kuishi miaka hiyo? Ukisoma vizuri utaona kuwa huyu amemaanisha ni Mungu tu ajuwae uongozi wake utasita lini.
Siyo 'wrongly interpreted' ni kwamba majibu yake yapo clear kama majibu ya judge anayemuhukumu mtuhumiwa mwenye miaka 30 kwenda jela mika 150 consecutively not concurently kwa makosa matatu aliyotiwa nayo hatiani.
You simply summarise it as 'LIFE'. Huyu rais ambaye pia ni mganga wa kienyeji anayesema anatibu UKIMWI kama babu wa Samunge alichosema hapo nikuwa yeye ni 'LIFE PRESIDENT'
Last edited by a moderator: