Matamshi ya Rais Yahya Jammeh wa Gambia kutawala milele!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225

Gambia's Yahya Jammeh wins fourth presidential term

_56945989_013390965-1.jpg


President Yahya Jammeh says his popularity lies in the development projects he has undertaken

The Gambia's President Yahya Jammeh has won a fourth term in office in Thursday's election, taking 72% of the vote, the election commission has said.

Electoral chairman Mustapha Carayol said voter turnout had been 83%.Opposition candidates Ousainou Darboe and Hamat Bah took 17% and 11% respectively, he said.
But Mr Darboe called the results "bogus, fraudulent and preposterous" and he urged the international community not to accept them.

"[They] constitute a capricious deception of the will of the people," the United Democratic Party leader said.

Ahead of the poll, the West African regional body Ecowas said the vote would not be free or fair because of intimidation by the governing party.

The 15-nation bloc said its investigations found "an opposition and electorate cowed by repression and intimidation" and it refused to send election observers to the tiny West African country.

But observers from the African Union (AU), Commonwealth and the Organisation of Islamic Co-operation (OIC) did monitor the poll.

These groups said there may have been some problems leading up to the campaign, but the election period itself was credible, the BBC's Umaru Fofana reports from Gambia's biggest town Serrekunda, near the capital, Banjul.

He says Mr Jammeh's supporters from the governing Alliance for Patriotic Reorientation and Construction party, wearing green T-shirts and waving mango tree leaves, can be seen celebrating in Serrekunda. Others are driving through the streets honking their horns.

Mr Jammeh, who came to power in a bloodless coup 17 years ago, has a bigger mandate than in 2006 when he won 67% of the vote in polls widely criticised by observers.

In that election, Mr Darboe secured 27% of the vote and turnout was about 59%.

Civil Liberties

After he cast his vote on Thursday, Mr Jammeh said he was in no doubt that he would win.

"In 17 years, I have delivered more development than the British were able to deliver in 400 years," he told the BBC.

"Do I look like a loser? There is no way I can lose unless you tell me that all Gambian people are mad," he said.

Mr Jammeh's government has been criticised by international rights groups for its attitude to civil liberties, especially freedom of the press and the detention and disappearance of journalists.

In response to such criticism, he said on Thursday: "The journalists are less than 1% of the population and if anybody expects me to allow less than 1% of the population to destroy 99% of the population, you are in the wrong place."

BBC News - Gambia's Yahya Jammeh wins fourth presidential term
 


Jammehs political history:



  • Overthrew The Gambia's first president as a 29-year-old army lieutenant in 1994
  • Previously won three widely criticised elections
  • Accused of not tolerating opposition or independent journalists
  • Claimed in 2007 that he could cure Aids with a herbal concoction
  • Warned in 2008 that gay people would be beheaded
  • Eight men sentenced to death last year after being accused of plotting to overthrow him
 
Rais wa Gambia Yahya Jammeh ameambia BBC kwamba ataongoza kwa miaka "bilioni moja", kama Mungu akipenda.
Anasema wale wanaomkosoa na kumshutumu kuwa alishinda uchaguzi wa mwezi uliopita kwa kutumia vitisho na ufisadi "wanapoteza muda wao".
Shirika la Afrika Magharibi Ecowas lilisema kuwa wapiga kura "walitishwa".
Bwana Jammeh, aliyeingia madarakani kwa mapinduzi mwaka 1994, alichaguliwa tena kwa asilimia 72, hiyo ni kwa mujibu wa takwimu rasmi.
Rais huyo mwenye umri wa miaka 46 anasema haogopi kile kilichomtokea Rais aliyeondolewa madarakani wa Misri Hosni Mubarak au Muammar Gaddafi wa Libya ambaye aliuawa.
"hatima yangu iko mikononi mwa mwenyezi Mungu," alimwambia mwandishi wa BBC.

"Nitawatimizia raia wa Gambia na kama nitatawala nchi hii kwa miaka bilioni moja,nitafanya hivyo, Mungu akipenda."

BBC Swahili - Habari - Rais Jammeh kutawala kwa miaka 'bilioni'
 
Nikionacho mimi ni matumizi ya lugha tu yamekuwa "wrongly interpreted".

Ni binaadam yupi awezae kuishi miaka hiyo? Ukisoma vizuri utaona kuwa huyu amemaanisha ni Mungu tu ajuwae uongozi wake utasita lini.
 
Hawa mabwana wameishagundua udhaifu wetu(African) uko wapi,hivyo hata maswali wanayouliza ni ya kuudhi ili anayeulizwa ajibu kipuuzi aonekane hafai...
 
Nikionacho mimi ni matumizi ya lugha tu yamekuwa "wrongly interpreted".

Ni binaadam yupi awezae kuishi miaka hiyo? Ukisoma vizuri utaona kuwa huyu amemaanisha ni Mungu tu ajuwae uongozi wake utasita lini.

Umemsaport kwa sababu ya udini tu wewe. Angekuwa mwingine ungeponda vibaya. Mbona uliaga ukarudi tena? Kweli wewe muwongo ukijifanya mfuasi mzuri wa mnyaanz mungu
 
Mimi nimeipenda ile dawa yake ya ukimwi.Tunataka maraisi ambao ni wavumbuzi wakati huo huo,sio maraisi mashoga na wauwaji.Afadhali aendelee kutuongoza huenda akatuletea na dawa ya saratani.
 
Umemsaport kwa sababu ya udini tu wewe. Angekuwa mwingine ungeponda vibaya. Mbona uliaga ukarudi tena? Kweli wewe muwongo ukijifanya mfuasi mzuri wa mnyaanz mungu

Siku support kitu hapo, wewe ulishaona mtu anaishi miaka billioni? Unanchekesha!
 
Mimi nimeipenda ile dawa yake ya ukimwi.Tunataka maraisi ambao ni wavumbuzi wakati huo huo,sio maraisi mashoga na wauwaji.Afadhali aendelee kutuongoza huenda akatuletea na dawa ya saratani.

Dawa ya ukimwi wapi???? Huyu ni Mchawi tu na anatumia Majini.
 
A confused person like all other confused people in Africa...I see the number goes up and up. Madereva DalaDala, siku hizi wengine wanataka maandamo bila kujua sababu etc
 
The sad part of the story is that he justifies his deeds in the name of the Almight. Does it mean the God that we all adore is impartial? He favors some few and curse others?
Kuna watu nina mashaka kama wanajua wanalolifanya na imani zetu hizi
 
Back
Top Bottom