Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Huyu mdada hajui kabisa kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza.
Anavyotamka "legendary" anakosea kabisa. Hata alitumiavyo pia anakosea.
Neno "career" ndiyo kabisa analiharibu. Analitamka "keria".
Hebu ona phonetic symbols za hilo neno..."kəˈriɚ".
Hiyo "e" iliyo juu chini hapo mbele ya k inatakiwa izungushwe i-sound kama 'o' fulani hivi.
Lakini yeye anang'ang'aniza tu kusema "keria".
Nyie watu wa Mkasi kama mnapitia hapa basi hakikisheni kabla ya kuyatumia maneno ya kizungu mjue jinsi yanavyotamkwa. Siyo mnayarusha rusha tu hovyo hovyo. Kamusi za Kiingereza zilizoko kwenye mtandao nyingi zinatoa muongozo wa matamshi.
You have the resources at your fingertips. Utilize them.
Halafu huyo mbongo fleva naye hajui kwamba neno "honestly" hiyo h haitamkwi.

Last edited by a moderator: