Matamshi fyongo

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,196
113,469
Huyu mdada hajui kabisa kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza.

Anavyotamka "legendary" anakosea kabisa. Hata alitumiavyo pia anakosea.

Neno "career" ndiyo kabisa analiharibu. Analitamka "keria".

Hebu ona phonetic symbols za hilo neno..."kəˈriɚ".

Hiyo "e" iliyo juu chini hapo mbele ya k inatakiwa izungushwe i-sound kama 'o' fulani hivi.

Lakini yeye anang'ang'aniza tu kusema "keria".

Nyie watu wa Mkasi kama mnapitia hapa basi hakikisheni kabla ya kuyatumia maneno ya kizungu mjue jinsi yanavyotamkwa. Siyo mnayarusha rusha tu hovyo hovyo. Kamusi za Kiingereza zilizoko kwenye mtandao nyingi zinatoa muongozo wa matamshi.

You have the resources at your fingertips. Utilize them.

Halafu huyo mbongo fleva naye hajui kwamba neno "honestly" hiyo h haitamkwi.

 
Last edited by a moderator:
heheheheheeehh chezeiya malkia wewe wat unajua kuja matamshi ni utashi wa mtu n hw hardworkin u are in learning mi sieez mlaumu sana yawezekana a level hakusoma language so smtms knowing the matamshi ni ishu n in other hand yeye anajihis yupo sawa since kwenye alphabet si tuna tamka a kama e na e kama i so career ndo mana ansema keria hahahaa sijui ya gari. Bonjour mes amies
 
mkuu mashuleni huwa hawafundishi namna ya kutamka matamshi ya kiingereza unless uwe umesoma FM Academia au language A-level...ikiwa tu baadhi ya maneno ya kiswahili tunakosea, sembuse kiingereza..
 
Ninachofikiri ni kwamba anayatumia maneno hayo kama tafsiri ya kiswahili ndo maana anayatamka hivyo ingawa ni kosa.changamoto iliyopo hapo ni watu wa mikasi kuhakikisha wanatafuta maneno ya kiswahili ili yatumike ipasavyo na sio kuweka tafsiri zao binafsi.
 
kaka lugha za watu hizi,....hili gonjwa najua tunalo wengi ila hatutaki kutibiwa tunaogopa aibu
 
Back
Top Bottom